Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

Tatizo nchi hii tunaogopana kuambiana ukweli, mwizi ni mwizi tu hata utumie maneno gani ya kumbaka mafuta atakuwa mwizi tu, neno dhaifu sio tusi kabisa hebu nendeni kwenye kamusi ya kiswahili limeelezewa vizuri tatizo hamtaki kuwaambiwa ukweli, hatutaweza kusonga mbele kama hatutajenga utamaduni wa kuambiana ukweli, umeharibu yafaa uambie hapa umeharibu, umeonyesha udhaifu kwenye utendaji uambiwe wewe dhaifu, hata Lowasa alishasema mbona hamkulalamika?
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.
Mikwara mingine bwana!!! mtu anachemka utadhani kweli anakwenda kumwadhibu Mnyika kumbe wapi, ni kilio tu cha maumivu baada ya ukweli kusemwa maana ukweli mchungu kwa kawaida huwa unauma. Haya basi, tunasubiri tuone huyo Mnyika mnaenda kumfanya nini. Kama kweli mtamshughulikia ndipo tutajua kweli kelele zenu hazikuwa mkwara wa mbwa koko.
 
Wabunge wetu tunaowalipa kwa kodi zetu wamegeuka kuwa waigizaji bungeni,wameacha kazi tuliyowatuma sasa wanacheza sindimba.huu ni msiba kwa taifa letu.
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

Kweli hata wewe ni dhaifu kama alivo kiongozi wenu dhaifu kupita kiasi. Mimi nasema huyo raisi wako ni dhaifu sanaaaaa
 
Mnyika ameharibia watoto wetu wanaofuatilia kwa makini Bunge kwa lengo la kujifunza jinsi wawakilishi wetu wanavyoongea na kuijadili bajeti.

Pamoja na kufurahia bunge, watoto pia wanajifunza jinsi watakavyoongea wakikua iwapo wataamua kuingia kwenye siasa.

Walichojifunza kwa huyu mpuuzi Mnyika ni jinsi ya kuwatukana baba zao hadharani.

Aibu sana, nimewapiga marufuku wanangu kuangalia kipindi cha Bunge ....until further notice.

Mkuu kuwa mkweli japo kwa nafsi yako tu jamani! Kati ya kauli ya Mnyika na mipasho+kejeli za kina Nchemba kipi ni matusi na kinakwaza watoto waliokuwa wanafuatilia???
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

tatizo lako na ssm kwa ujumla ni "uelewa tu" JK ni mzuri (strong) kwa maeneo haya hapa chini basi, lakini maeneo yaliyobaki ni dhaifu
  • kutabasamu wakati wote,
  • kutembelea waliofiwa/wagonjwa,
  • kutembea nchi za watu bila ya sababu,
  • kuchagua mabinti wazuri na kuwapa vyeo
  • kulipa kisasi nk
 
bunge ni taasisi nyeti tunayoiheshimu lakini limepoteza heshima na mvuto kwa watanzania.limegeuka kijiwe cha mipasho na taarabu
 
Infalation iko zaidi ya 30% kubwa kuliko kipindi chote cha historia la taifa hili

wewe ni dhaifu pia hata wa akili

Inflation huwepo wakati bidhaa zipo, ulikuwepo wakati wa Nyerere? hakuna cha kununuwa inflation itatoka wapi?
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.
Mimi sijaona popote ambapo Mnyika ametangaza vita na Janga.... ila ni kawaida yenu watu incompetent, huwa mnaishia kwenye visasi na mashindano yasiyo na tija... shindaneni na umaskini wa nchi na ufisadi basi kama mnaweza
 
Nyeupe ni nyeupe tu haiwez kuwa nyekundu, udhaifu kuonyeshwa udhaifu hadharani
 
ALIKUA ANAMSHAURI AACHE UDHAIFU NI KITU AMBACHO KWA
UELEWA WA mH. RAIS HAWEZI AKAONA SHIDA YOYOTE NA KWA KUA
AMESEMA HIVYO WAKATI MUAFAKA .
 
Nasema hivi, nyinyi hamuelewi msemo wa Kiswahili unaosema "asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimengu", huyu kijana hajafudwa kwao, na sasa ulimwengu utamfunda. Kacheza na moto ambao haujuwi joto lake.

Kajiingiza kichwa kichwa pabaya sana, kavuka mipaka ya demokrasia, kashindwa kuleta hoja kaleta dharau na hilo hatuliwachi likapita ili iwe fundisho kwa wengine.

sina mengi sana ya kusema na subiri tuone utakacho mfanya mnyika maana wewe unaongea mambo ambayo wana ccm hawawezi kuongea kwani unajua madhara yake.

Sasa mi nasema tusubiri maneno yako yatimie tuone utamfanya nini mnyika wewe!
Unakataa nini wewe jk ni dhaifu unatokwa povu zaidi ya riz na mwanaasha.

Unatatizo gani wewe kwni huoni kama jk ni dhaifu,basi mnyika kauona.
 
tatizo lako na ssm kwa ujumla ni "uelewa tu" jk ni mzuri (strong) kwa maeneo haya hapa chini basi, lakini maeneo yaliyobaki ni dhaifu
  • kutabasamu wakati wote,
  • kutembelea waliofiwa/wagonjwa,
  • kutembea nchi za watu bila ya sababu,
  • kuchagua mabinti wazuri na kuwapa vyeo
  • kulipa kisasi nk

[h=6]mbona mpaka leo dkt.silaa hajaoaa ana kazi ya kuzaa nje ya ndoa mara ana mtoto anaitwa junior mara kelvin haya ndyo maadili kweli,au mbona hamsemi mademu wa viti maalumu wa mbowe[/h]
 
USHAURI WANGU KWA JOHN MNYIKA:
Nikiwa kama mkaazi wa Mbezi kimara ndani ya jimbo la John Mnyika, naona kuna matatizo mengi sana ambayo mengine yanaweza kutatuliwa na nguvu za mbunge wetu kwa nafasi yake. Maji ni taabu sana, katika eneo letu maji dumu la lita 2o hununuliwa na wanachi wa jimbo la Ubungo kwa Ths. 1000-1500, bei hizi pia unazikuta maeneo ya riverside ambako pia ni jimbo la ubungo, barabara mbovu, vibaka wa kutosha, vijana hawana ajira. Pia natambua na bado tunaikumbuka kampeni yake iliyokuwa imeongozwa na msemo wake wa "AMUA" yaani-Afya, Maji, Umeme, Ajira, hizi zilikuwa ahadi za Mnyika 2010. Hapa ktk jimbo la ubungo hakuna lililofanyiwa kazi na haya mnyika aliyahidi.

Usipende kuwa taahira jikumbushe za Abunuwas Dhaifu ****** hapa nakupa 25 tu ila zipo 97

Ahadi za Kikwete:
1. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa.
2. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi
3. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi
4. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba
5. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma
6. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda
7. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa
8. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu
9. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino
10. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba
11. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
12. Serikali kulisaidia vyama vya ushirika
13. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa
kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu
14. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani
15. Kulinda muungano kwa nguvu zote
16. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa
17.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa
18.Kujenga bandari Kasanga mkoani Rukwa
19.Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo
20.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira
21.Kuzuia hatari za kisiwa cha Pangani kuzama
22.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini
23.Kujenga kiwanda cha mboga Kibaha Pwani
24.Atajenga Machinga Complex kila wilaya
25.Atajenga hospitali kila jimbo
 
Nasema hivi, nyinyi hamuelewi msemo wa Kiswahili unaosema "asiyefundwa na ***** hufundwa na ulimengu", huyu kijana hajafudwa kwao, na sasa ulimwengu utamfunda. Kacheza na moto ambao haujuwi joto lake.

Kajiingiza kichwa kichwa pabaya sana, kavuka mipaka ya demokrasia, kashindwa kuleta hoja kaleta dharau na hilo hatuliwachi likapita ili iwe fundisho kwa wengine.
gone are those days za kutishana mkuu... starehe hiyo ilikua enzi zile wakati watanzania ni mabwege
 
Masikini we, kwa bahati mbaya nasikitika kuwa uwezo wako wa kufikiri ni dhaifu kama naibu spika, kusema Rais Kikwete ni dhaifu sio kutangaza vita, naibu spika alitakiwa kumpa nafasi Mh. Mnyika afafanue kwanza ni ndhaifu kwa lipi? pili mwaka 2010 hatukuchagua malaika kuiongoza Tanzania bali tulimchagua binadamu aitwae Jakaya Mrisho Kikwete kutuongoza hivyo binadamu wote tu dhaifu akiwemo Rais Kikwete hivyo, sio sahihi kutuaminisha watanzania kuwa Rais Kikwete hawezi kuwa dhaifu.
 
Nadhani imefika wakati sasa Rais inabidi aoneshe udikteta kama wa Mkapa , enzi zile midono ya watu kama hawa ilifyata kama mikia ! Rais tunaomba uwashikishe adabu watu kama hawa ambao hawana nidhamu kabisa, hata iweje huwezi kuwa na kiburi na dharau kiasi hicho kwa kiongozi wako wa nchi! Rais tunaomba huyu aadabishwe ! na iwe fundisho kwa wengine !
Awaue kama kina Kombe?au wafungwe kama wale wanamuziki? Ulimwengu huu ni mwingine, usimponze amfuate Taylor bure wakati wewe utakuwa unakula maisha kwa mafanikio yatakayo letwa na Chadema baada ya 2015
 
mbona mpaka leo dkt.silaa hajaoaa ana kazi ya kuzaa nje ya ndoa mara ana mtoto anaitwa junior mara kelvin haya ndyo maadili kweli,au mbona hamsemi mademu wa viti maalumu wa mbowe

UAMSHO ni ugonjwa wa kuwa brainwashed.....unaonyesha wewe ni dhaifu sana hata kiakili
 
Mbunge kijana ambae anaonesha kuwa umaarufu na madaraka ya ubunge yamemlevya amefikia hatua ya kumuingia Kikwete binafsi kwa kumwita, kwa kejeli na dharau eti ni "dhaifu".

Kwa muono wangu, Mnyika amepotoka na amekosa heshima na adabu kwa sio tu mtu aliyemzidi umri, bali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa Watanzania wote ambao tumeridhika kwa kumchagua Kikwete kwa kumpigia kura atuongoze.

Mnyika baada ya kushindwa kuwasilisha hoja kuhusu bajeti akaamuwa kwa makusudi kabisa, kutoa lugha inayokera, si tu kwa Rais, bali kwa bunge pia, kuwa wote ni "wazembe" na CCM yote ni "upuuzi".

Kweli kabisa, mimi ni mwana CCM na umenitukana, kwa hilo, umetangaza vita binafsi na mimi na wana CCM wote, hali kadhalika na Wabunge wote kwa kuwaita "wazembe". Jee, kijana hicho kiburi cha kututukana wote pamoja na Rais wetu mpendwa kwa ajili ya huo Ubunge? au kuna kinachokufanya ujione kuwa uko juu ya sheria, kwa kuwa upo hapo na watunga sheria wengine?

Nakuhakikishia, vita uliyoitangaza itakugharimu kupita uwezo wa kufikiri, na majuto ni mjukuu.

Kikwete humuwezi.

kwa uwezo wake mwenyewe mnyika si kitu si lolote mbele ya rais na wana sisiemu.. lakini by Peoples power mtakiona cha moto... peoplez Power
 
Back
Top Bottom