jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,842
itasaidia nini km wabunge wengi ni wa chama tawala wanaolindwa na hiyo tume!Nadhani hujui Kanuni za Kudumu za Bunge!
Bunge linaruhusu Muswada Binafsi ina maana kuwa Mbunge yeyote anaweza kupeleka bungeni Muswada binafsi na kama akipata majority inakuwa ni sheria.
Kanuni ya 81(1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge imeeleza utaratibu wa kuwasilisha Muswada Binafsi.
Kwa mantiki hii, Mnyika kama Mbunge anaweza kuwasilisha Muswada Binafsi kuhusu Tume ya Uchaguzi.
Wamezoea kutumia wingi wao kupitisha miswada ya hovyo tu!.
Sent using Jamii Forums mobile app