Mnyika amejibu vizuri sana

Mnyika amejibu vizuri sana

Kwa jicho lako unaona kamzidi kwa taarifa yako Katuga alikuwa Ana furahi kwa kuona Mnyika anawarahisishia kazi
Mbona ilifika sehemu katuga akawa anapanic😂😂 ndunguru anakenua tu layman wa form 6 anavyompeleka puta advocate
 
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?

Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:

“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
[/QUOweTE]
We ni shoga lake tunakufahamu!
 
So hapo Tundu Lissu anakiri kweli kuwa alikuwa anahamasisha uasi, ila dhidi ya mfumo kandamizi.....Je huo mfumo unapimwaje kuwa ni kandamizi? Maana ukienda Marekani Kuna wanaharakati wanaona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, ukienda China pia wapo wanaiona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, Urusi, Kenya, Rwanda, n.k
Mifumo kandamizi na isiyo kandamizi inapimwa kwa kutumia nini?

Je kama mfumo ni kandamizi kweli, kufanya uasi anaoumaanisha Lissu (riots, sabotage, n.k) linakuwa suluhisho halali kwa sababu Nyerere alisema? Tunatakiwa kuchukua maneno ya wanasiasa au viongozi kama kuhalalisha jambo hata kama litahatarisha amani na usalama wa nchi?

Mfano Magufuli alishawahi kusema wafungwa wafanyishwe kazi kama punda, wapigwe mateke, Inakuwa ni kauli sahihi kwa sababu kiongozi mkubwa alisema?
Wewe kumbe ni kiazi namna hii? Mtu akisema tuupige vita umasikini anakuwa amemaanisha tuchukue AK47 na mabomu ya nyuklia kwenda kupigana na umasikini? Hivi barabara unazivuka kwa kutumia akili hii hii au unavushwa?
 
Ukimsikiliza Mnyika Kichadema utashangilia kuwa amejibu vizuri na utamuona kama Genius ..ila kwa jicho la sheria Kuna vitu vingi anamtia hatiani lisu kwenye maeneo mengi Sana! wacha kesi iishe tuone
Tupe mfano
 
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?

Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:

“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
Screenshot_20250823-084911~2.png
 
Ukimsikiliza Mnyika Kichadema utashangilia kuwa amejibu vizuri na utamuona kama Genius ..ila kwa jicho la sheria Kuna vitu vingi anamtia hatiani lisu kwenye maeneo mengi Sana! wacha kesi iishe tuone
Hakuna cha hatia, uhaini ni vitendo sio maneno
 
Wewe kumbe ni kiazi namna hii? Mtu akisema tuupige vita umasikini anakuwa amemaanisha tuchukue AK47 na mabomu ya nyuklia kwenda kupigana na umasikini? Hivi barabara unazivuka kwa kutumia akili hii hii au unavushwa?
Lazima utukane😂😂 ndio tatizo lenu nyie, hamuwezi ku control emotions, kusoma hoja kwa makini na kujibu,
Ndio maana saa nyingine CCM wanaona hatuwezi jadiliana na viazi wanawatandika tu
 
Kwahiyo wakiongea viongozi wakuu sio kosa ila upinzani ni kosa? UVCCM wanavyobwataga uharo kila siku mbona hawakamtwii??
Hilo linawezekana pia, Ila kosa la mtu mwingine halihalalishi kosa lako, Wala mahakama haiangalii hiyo kitu, ishu ni umefanya nini na Sheria inasemaje kuhusu ulichofanya
 
Umesomea sheria mzee baba? Ndiomana ili kuhalalisha jambo kisheria tunanukuu mambo ya zamani yaliyokwisha wakilishwa mahakamani na kupata uhalali. Sijui niseme urudi darasani kama mwanasheria au uanze kujifunza sheria
So huo mfano wa Nyerere ushawakikishwa mahakamani na kupewa uhalali?
 
Ila Samia anaweza kuliambia jeshi lijiandae kwa uchaguzi, kisha liue watu ili yeye akae madarakani kwa kura za kupika, na asichukuliwe hatua yoyote.
Mzee kama umefanya kosa tunatakiwa ujiteteee kwa nini ulichofanya sio kosa, ukianza kusema "mbona na yule alifanya vile" ni kama unakiri kosa, haikuondolei kosa, Wala Sheria haifanyi kazi hivyo... utaambiwa ilitakiwa kumpeleka mahakamani
 
Rais wa Tanzania anashitakika kwa katiba hii?
 
Hashtakiwi, hii inahusianaje na kesi ya Lissu
Huenda hujui mjadala, nimekuambia Rais alisema nini kabla ya uchaguzi, ukasema sheria hazifanyi kazi hivyo, na ukasema utaambiwa ungempeeka mahakamani, ndio nikakuambia rais anapelekwa mahakamani nchi hii? Unasema una husiama vipi na kesi ya Lisu? Ndio nasema hujui nimefikaje hapo kwa mtiririko wa mjadala wetu?
 
Hoja yangu kuu naona umeipuuza...swali ni hivi, mfano umepelekwa ukishtakiwa umeua, badala ya kujitetea kuwa hujaua, unasema mbona flani nae aliua?
 
Hoja yangu kuu naona umeipuuza...swali ni hivi, mfano umepelekwa ukishtakiwa umeua, badala ya kujitetea kuwa hujaua, unasema mbona flani nae aliua?
Hiyo iwapo wote mnaweza kushitakiwa. Kumbuka mwenzako ana kinga ya kutenda maovu. Hivyo lazima upambane wote muweze kushitakiwa.
 
Hiyo iwapo wote mnaweza kushitakiwa. Kumbuka mwenzako ana kinga ya kutenda maovu. Hivyo lazima upambane wote muweze kushitakiwa.
Kwa hiyo hapo inabidi kukubali alikuwa kwenye vita ya kufa na kupona dhidi ya serikali sasa....na serikali ikamshinda kwenye hiyo vita kwa kumkamata na kumuweka ndani

So, hapa ni kujiuliza, ulilkuwa kwenye vita yab kuiangamiza serikali na mifumo yake (baada ya mazungumzo kushindikana) ila ukashindwa, serikali ikakudhibiti, uta plead ili ikuhurumie isikuangamize au utaendelea kuikazia huku ukiahidi kuwa utaendeleza vita itakapokuachia huru?
 
Back
Top Bottom