Mnyika amejibu vizuri sana

Mnyika amejibu vizuri sana

So hapo Tundu Lissu anakiri kweli kuwa alikuwa anahamasisha uasi, ila dhidi ya mfumo kandamizi.....Je huo mfumo unapimwaje kuwa ni kandamizi? Maana ukienda Marekani Kuna wanaharakati wanaona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, ukienda China pia wapo wanaiona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, Urusi, Kenya, Rwanda, n.k
Mifumo kandamizi na isiyo kandamizi inapimwa kwa kutumia nini?

Je kama mfumo ni kandamizi kweli, kufanya uasi anaoumaanisha Lissu (riots, sabotage, n.k) linakuwa suluhisho halali kwa sababu Nyerere alisema? Tunatakiwa kuchukua maneno ya wanasiasa au viongozi kama kuhalalisha jambo hata kama litahatarisha amani na usalama wa nchi?

Mfano Magufuli alishawahi kusema wafungwa wafanyishwe kazi kama punda, wapigwe mateke, Inakuwa ni kauli sahihi kwa sababu kiongozi mkubwa alisema?
Magufuli aliposema hivyo alikamatwa?
 
Mnyika sio Tu amejibu vizuri Bali amemzidi Akili nyingi Sana katuga.
Leo jaji ndunguru alikuwa a anafurahi kila baada ya majibu ya mnyika , katuga ataenda kusimulia juu ya kesi hii ngumu Kwa upande wao
 
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?

Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:

“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
Ukikisoma Kitabu cha Ujamaa na Azimio la Arusha cha mwaka (1968( kilichoandikwa na Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere ukaongea hizo hoja leo utaonekana kama mpinzani namba moja
 
Hapana, anachojutia Samia ni kwanini aliamia kuwa mwema kwa mtu mshenzi, mdini na fedhuli?!!!! Hapo anajuta sana.
Lisu aliwatetea sana masheikh bila kujali dini ,leo mashekhe wa uamsho hata kusema tu hawawezi hakika waislam tunahuzunisha. Allah atamsimamia dhidi ya dhulma anayofanyiwa.. Waislaam tunatakiwa tusimame kwenye ukweli dunia tutaiacha tu hii hata atujengee masoko mangapi huyu samia hatutaenda nayo kokote.
 
Ukimsikiliza Mnyika Kichadema utashangilia kuwa amejibu vizuri na utamuona kama Genius ..ila kwa jicho la sheria Kuna vitu vingi anamtia hatiani lisu kwenye maeneo mengi Sana! wacha kesi iishe tuone
 
Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .

Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.

Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
Ni kweli amekusudia ila historia itamhukumu mkuu. Yeye ndiye mwenye nyenzo zote madarakani, wacha afanye chochote but nothing has been lasting forever. Majuto ya baadae ni makuu kuliko hatua za mwanzo
 
Point ni kwamba kauli ya kiongozi, Rais haiwezi kuhalalisha jambo...Lissu hawezi kutumia kauli ya Nyerere kuhalalisha huo uasi kama huo uasi ni kosa la jinai
Ila Samia anaweza kuliambia jeshi lijiandae kwa uchaguzi, kisha liue watu ili yeye akae madarakani kwa kura za kupika, na asichukuliwe hatua yoyote.
 
Mnyika sio Tu amejibu vizuri Bali amemzidi Akili nyingi Sana katuga.
Leo jaji ndunguru alikuwa a anafurahi kila baada ya majibu ya mnyika , katuga ataenda kusimulia juu ya kesi hii ngumu Kwa upande wao
Kwa jicho lako unaona kamzidi kwa taarifa yako Katuga alikuwa Ana furahi kwa kuona Mnyika anawarahisishia kazi
 
Point ni kwamba kauli ya kiongozi, Rais haiwezi kuhalalisha jambo...Lissu hawezi kutumia kauli ya Nyerere kuhalalisha huo uasi kama huo uasi ni kosa la jinai
Umesomea sheria mzee baba? Ndiomana ili kuhalalisha jambo kisheria tunanukuu mambo ya zamani yaliyokwisha wakilishwa mahakamani na kupata uhalali. Sijui niseme urudi darasani kama mwanasheria au uanze kujifunza sheria
 
Hapana, anachojutia Samia ni kwanini aliamia kuwa mwema kwa mtu mshenzi, mdini na fedhuli?!!!! Hapo anajuta sana.
Atajuta maisha yake yote ,hayo Matapeli yalishakimbia nchi...Akatoa pesa zake ili kuwarudisha ila Magufuli aonekane mbaya ,kumbe Magu alitenegenza njia ,ona leo bora hata kumthamini mnyama kuliko binadamu.
 
Lisu aliwatetea sana masheikh bila kujali dini ,leo mashekhe wa uamsho hata kusema tu hawawezi hakika waislam tunahuzunisha. Allah atamsimamia dhidi ya dhulma anayofanyiwa.. Waislaam tunatakiwa tusimame kwenye ukweli dunia tutaiacha tu hii hata atujengee masoko mangapi huyu samia hatutaenda nayo kokote.
Peleka ujinga wako huko ,hatuna mambo ya kijinga , uislamu na vurugu hapana ..Waangalie hao CHADEMA nj john , John tu ..Au unataka tukuonyesha tweets za Sativa ...Hakuna Muislamu hapo ,mnafiki mkubwa wewe.!
 
Ukimsikiliza Mnyika Kichadema utashangilia kuwa amejibu vizuri na utamuona kama Genius ..ila kwa jicho la sheria Kuna vitu vingi anamtia hatiani lisu kwenye maeneo mengi Sana! wacha kesi iishe tuone
Kiufupi ,jamaa wanashangilia ila hamna alichojivu ..Jamaa kesi anayo , serikali wanamuonea huruma tu.
 
Point ni kwamba kauli ya kiongozi, Rais haiwezi kuhalalisha jambo...Lissu hawezi kutumia kauli ya Nyerere kuhalalisha huo uasi kama huo uasi ni kosa la jinai

Kwahiyo wakiongea viongozi wakuu sio kosa ila upinzani ni kosa? UVCCM wanavyobwataga uharo kila siku mbona hawakamtwii??
 
Back
Top Bottom