Mnyika amejibu vizuri sana

Mnyika amejibu vizuri sana

Kwa hiyo hapo inabidi kukubali alikuwa kwenye vita ya kufa na kupona dhidi ya serikali sasa....na serikali ikamshinda kwenye hiyo vita kwa kumkamata na kumuweka ndani

So, hapa ni kujiuliza, ulilkuwa kwenye vita yab kuiangamiza serikali na mifumo yake (baada ya mazungumzo kushindikana) ila ukashindwa, serikali ikakudhibiti, uta plead ili ikuhurumie isikuangamize au utaendelea kuikazia huku ukiahidi kuwa utaendeleza vita itakapokuachia huru?
Hakuna mapambano marahisi, hasa ya kutaka mabadiliko dhidi ya mfumo kandamizi. Hapo viongozi waliotoa amri akamtwe ni walevi wa madaraka, na hofu ya kupoteza hayo madaraka. Sio nje ya hapo boss.
 
Hakuna mapambano marahisi, hasa ya kutaka mabadiliko dhidi ya mfumo kandamizi. Hapo viongozi waliotoa amri akamtwe ni walevi wa madaraka, na hofu ya kupoteza hayo madaraka. Sio nje ya hapo boss.
So ni kujiandaa kufungwa? Sababu ni walevi wa madaraka na hawataki kitisho kwenye madaraka Yao? Au kulazimisha aachiwe?
 
Back
Top Bottom