Mnyama wa taifa ndio nani jamani?

Mnyama wa taifa ndio nani jamani?

Haya tena kwa wanaopenda MnyamA wa Taifa karibuni Kitomoto hicho mkuu Boflo ufaidi tena mimi simo jamani......

168806_362730143826616_46060741_n.jpg



Kaka nilidhani wewe ni Ustaadh..??
 
kuna mchaga asiyekunywa mbege?
mbege sio pombe eti!
Mbege ni Shakula.


Umenikumbusha siku moja niko Vunjo nikakaribishwa Mbege,basi nilipoukataa yule mama akashangaa Yesuu hivi kuna mtu Dunia hii asiyekunywa Mbege..
 
Mbona hatujibu swali? Mnyama wa Taifa la Tanzania ni Twiga.
 
Mkuu mnawanyima habari baadhi ya watu wa pande ya pili,huwa wanatumia hii kitu!


Ubaguzi ni kitu kibaya sana,wauzaji wa hiyo kitu huwa hawataki hata kuusikia mwezi wa Ramadhan,sababu mauzo yao hushuka sana..
 
Back
Top Bottom