Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Haya tena kwa wanaopenda MnyamA wa Taifa karibuni Kitomoto hicho mkuu Boflo ufaidi tena mimi simo jamani......
![]()
Naona umeamua kutumia tafsida.Mie najua huku mgombani tunamwita Mbuzi katoliki.Mbona kama yuko matesoni vile?
Halafu huyu kule kwetu uchaggani tunamwita mbuzi wa mila.
Huyu hachinjwi hivi hivi hadi achinjwe na mzee wa mila
Teh teh teh1kwani kuna ubaya gani?Afu nina wasiwasi na MziziMkavu.
Itakuwa anatafuna ule mchunga pori.
Teh teh teh!sasa yupo teyari kwa kuliwa!Aisee anateseka
Aisee anateseka
Duh!utaratibu mnaotumia kupashana habari ni wa kibaguzi!Naona umeamua kutumia tafsida.Mie najua huku mgombani tunamwita Mbuzi katoliki.
Siku anayochinjwa huwa tunaletewa tangazo pale kanisani kwetu kwamba,"mzee mfuru leo kachinja, wote mnakaribishwa"
ukitangaza hadharani yatatokea ya geita.Duh!utaratibu mnaotumia kupashana habari ni wa kibaguzi!
Mkuu,kitu kizuri kula na nduguyo!
Teh teh teh!Harusi yako itapendeza sana!sasaaa huyu ni ndafu-nguruwe au?? natamani harusi yangu awepo ndafu-nguruwe, mtaalamu wa kuchoma ajitokeze tafadhali
Mkuu mnawanyima habari baadhi ya watu wa pande ya pili,huwa wanatumia hii kitu!ukitangaza hadharani yatatokea ya geita.
ndiyo maana hausikii vurugu za kidini huku mgombani.tunaheshimiana sana.
Washirika huwa wana njia nyingine ya kupata habari!Mkuu mnawanyima habari baadhi ya watu wa pande ya pili,huwa wanatumia hii kitu!
Sawa mkuu kama huwa mnawatendea haki,lakini umesahau kuna baadhi yao huwa hawanywi mbege!Washirika huwa wana njia nyingine ya kupata habari!
Tukikutana kwenye mbege tunaambiana.
Nyama nyingine italetwa kwenye mbege.
si unajua kule mbege tunakunywa 24 hours huku tunapiga nyimbo za kumsifu bwana???
Hivyo ndivyo dunia ilivyo!Mateso kwake,raha kwa mlaji.
kuna mchaga asiyekunywa mbege?Sawa mkuu kama huwa mnawatendea haki,lakini umesahau kuna baadhi yao huwa hawanywi mbege!