Kwa muda sasa ushapata mtu WA kubadilishana nae kituo cha kazi tena mikoa tofauti kipengele cha incoming request hakifunguki kwa wote hata sasa ukiingia inakuletea AN UNEXPECTED ERROR OCCURRED
Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima ukiwa na kasoro unatugharimu wengi
Jamani tunaomba marekebisho ya mfumo yazingatiwe kwa wakati, kwani mfumo huu ni kwa taifa zima ukiwa na kasoro unatugharimu wengi