Rubi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,615
- 335
Hii thambi kichwa tu halafu kiwiliwili kinaachwa barabarani.
Hii thambi kichwa tu halafu kiwiliwili kinaachwa barabarani.
Hivi nyama ya tembo hailiwi? maana huku mjini bei ya nyama iko juu sana,Hii thambi kichwa tu halafu kiwiliwili kinaachwa barabarani.
sasaaa huyu ni ndafu-nguruwe au?? natamani harusi yangu awepo ndafu-nguruwe, mtaalamu wa kuchoma ajitokeze tafadhali