Taarab hizo we mtoto we............na wanja wako wa sina bwana! Lol!
Mi hata simjui hebu nielewesheni vizuri maana siwezi sema kama namuogopa ama laa kama simjui, unajua mkia una sifa zake kuitwa mkia so kama haufanyi kazi ya mkia then huo sio mkiavipi yule mwenye jicho moja aliyesemwa hapo awali na wewe unamwogopa.
ata mimi naishangaa ila siiogopi..naishika na kuichunguza kwanini hiko mbele lakini sipati jibu.vipi wewe ulishawai kuichunguza au kuishika hiyo mikia?
hahahaha!! Hivi mkia wa kondoo hauna manyonya mengi! Kama unayo mengi ndio nitazidi kuogopa.
Hahahahaaa sasa kile ki askari cha kizanzibari kilikuwa kinamuonyesha mkuu kuwa kiko singo eeh?ha ha ha, wanja wa sina bwana unapakwa jioni afu unakaa barazani.
Sasa hivi nimepaka wanja wa ushoga kazi.
Hebu tutafutie picha yake mkuu ili tukajue na sisi tusije kutana nako kakatuharibu, bora kararue uso huko kwingine hapana aseeNyie jamani! Kuna kamnyama kamoja jamii ya paka kanaitwa Kanegele,ukubwa wake ni kama paka aliyekomaa vema,kanapatikana maeneo ya kanda ya ziwa. Haka hata simba akikutana nako anakula kona! Ukikutana nako njiani hakakupishi,ole wako ujifanye unakatimua! Sekunde chache kameshakurarua reception yote! Na kanawahi sana kukamata sehemu ya ofisi kwa kinababa! Ukifanikiwa kukashinda siku hiyo ujue kesho yake,same time,same place kanaibuka kurivenji! Ole wake atakaekatiza muda ule ule! Atakatambua! Nakaogopa ile mbaya!
Hebu tutafutie picha yake mkuu ili tukajue na sisi tusije kutana nako kakatuharibu, bora kararue uso huko kwingine hapana asee
Haya mkuu jitahidi maana nami kameanza kunitisha hakongoja nikiingia ktk pc yangu. Ni sura kama paka kabisa ila maskio ni marefu,macho ni makubwa yenye mnp'ao kama ya paka ila yametokeza zaidi kama goroli,mdomo mwembamba kiasi ni kajeuri usoni! Uspime!
Mimi namuogopa mdudu mmoja ana jicho moja!Hana sumu kabisa ila namuogopa mno!
Naona mwenendo wa sred unaanza kugeukia kichwa chini miguu juu, MADUDU YENYE MIKIA MBELE, MADUDU YENYE JICHO 1 LAKINI HAYANA SUMU! Mwe sijui ni madudu gani hayo
mh so nikija na konokono nikikutishia nnachotaka unanipa eeh?