Mnyama gani umewahi kumwona live?

Mnyama gani umewahi kumwona live?

But why best? Why uwachukie that much?

Mi sipendi all reptiles
Najua ni waoga Mkuu ila nimetokea kuwachukia, hata kama naangalia kipindi kinachohusu mbuga za Wanyama basi wakija hawa jamaa tu nakosa raha ya kuendelea kuangalia kipindi.
 
But why best? Why uwachukie that much?

Mi sipendi all reptiles
fisi amekaa style ya utata sana,hata style za kumfuatilia mtu inamashaka,ukisimama anasimama na ukiondoka anakufuata,halafu akicheka wenzake wanakuja
 
Ngiri tu ndo cjawai kumuona live,wengine wote nilishawaona.
 
ni noma,akikufukuza kata kona,ashanitokea live,ni noma sana aiseee anaweza akakuchana vipande vipande
Huwa naowaonaga kwenye luninga,akifukuzwa na chui anakimbia hadi shimoni akifika huko ndani anabadili mawazo,anatoka nje kumtafuta chui!
 
Wana sura mbaya, ngozi mbaya, sauti zao mbaya ni wavivu kazi yao kuvizia wenzao wafanye mauaji wao wakafanye uporaji...Mamba na Nyoka pia siwezi kabisa kuangalia vipindi vinavyowahusu hawa.

But why best? Why uwachukie that much?

Mi sipendi all reptiles
 
Huwa naowaonaga kwenye luninga,akifukuzwa na chui anakimbia hadi shimoni akifika huko ndani anabadili mawazo,anatoka nje kumtafuta chui!
ni noma sana,,,ukiona anakuja we kata kona huwa hawezi kujicontrol,akija ukamchenga mpaka anapitiliza,mpaka ageuke we ushapata idea
 
Huyu "RHINO" kiswahili sijui anaitwaje inasemekana akikufukuza ukapanda juu ya mti anakojoa makusudi kisha anaanza kuyapiga mkojo wake wakati anakojoa yakikugusa unaanza kuwashwa juu ya mtu mpaka unaanguka,sijui kama ni kweli.

rhino-poaching-south-africa-increase_311.jpg

Anaitwa kifaru.....hiyo hadithi unayoisema, nafikiri inamhusu zaidi nyati, ambaye hutumia mkia kusambaza huo mkojo. Just imagine mkojo wa huyu utakupataje?
 
Back
Top Bottom