Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 756
- 322
Nguruwe pori........
![]()
mwigulu!
Nguruwe pori........
![]()
Fisi
![]()
Tembo Handsome....hana hata Ndovu Premium Lager, a.k.a Kinana.
Tembo
![]()
CCM huyu!
huyu umemwona?
inasemekana ni waoga ila unajua athari zao?aiseee balaa sana ,nilikuwa naishi kwa babu mnapishana hivi mpaka nywele inasisimka,,,,,aisee kuna mambo ya uchawi watakuwa wanahusika........maana mitaa yao mbaya sanaAisee hawa wadudu siwapendi kabisa.
kwahiyo umemwona nyau tu live..............utata
inasemekana ni waoga ila unajua athari zao?aiseee balaa sana ,nilikuwa naishi kwa babu mnapishana hivi mpaka nywele inasisimka,,,,,aisee kuna mambo ya uchawi watakuwa wanahusika........maana mitaa yao mbaya sana
aisee unaweza kumwona simba live au tembo,ila huyu...kuna kitu si kawaida,yaani utahisi tu mwenyeweNajua ni waoga Mkuu ila nimetokea kuwachukia, hata kama naangalia kipindi kinachohusu mbuga za Wanyama basi wakija hawa jamaa tu nakosa raha ya kuendelea kuangalia kipindi.
nimewaona live,wanafujo hujui,watakuchezea mpaka uchoke,..kuna style yao ya kuchungulia wakiwa wameweka mkono machoni kama wanakinga jua,lol utacheka sana wakitumia hiyo style,aiseee hawa wanachekesha bhana tatizo ukigeuka tu wanajifanya bize,,,,ukiwageuzia mgongo wanaanza kejeliKima punju..