mkuu huyu na mbwa hawagombani,unaweza kumkamata swala kutumia mbwa ila huyu akifukuzwa na mbwa akifikiwa wanaangaliana tu,why hawagombani,wanaangaliana tu.
cc Sikonge
huyu tembo mbona hana kinana?tembo
![]()
Nguruwe pori........
![]()
Huyu "RHINO" kiswahili sijui anaitwaje inasemekana akikufukuza ukapanda juu ya mti anakojoa makusudi kisha anaanza kuyapiga mkojo wake wakati anakojoa yakikugusa unaanza kuwashwa juu ya mtu mpaka unaanguka,sijui kama ni kweli.
![]()
huyu tembo mbona hana kinana?
Nguruwe pori........
![]()
Wildbeest.nyumbu kwa english anaitwaje?
Tembo
![]()
mkuu huyu na mbwa hawagombani,unaweza kumkamata swala kutumia mbwa ila huyu akifukuzwa na mbwa akifikiwa wanaangaliana tu,why hawagombani,wanaangaliana tu.
cc Sikonge