mkuu huyu na mbwa hawagombani,unaweza kumkamata swala kutumia mbwa ila huyu akifukuzwa na mbwa akifikiwa wanaangaliana tu,why hawagombani,wanaangaliana tu.
Huyu "RHINO" kiswahili sijui anaitwaje inasemekana akikufukuza ukapanda juu ya mti anakojoa makusudi kisha anaanza kuyapiga mkojo wake wakati anakojoa yakikugusa unaanza kuwashwa juu ya mtu mpaka unaanguka,sijui kama ni kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.