Mnyama gani huyu!!

Mnyama gani huyu!!

mkuu hapa hatutapata hata mmoja umeshawaambia watudanganye!!!!

Tutafika hivyo hivyo mkuu si unajua jf ni mwisho? Wakija ki namna flan basi hakuna jinsi itabidi niharibu hvyo hvyo mtanisamehe kwa hilo.
 
Naamini ktk maisha yako kuna viumbe hai vingi na bado hujaviona na vingi vyao vipo ktk hatari ya kutoweka ktk uso wa dunia ngoja hayo tuyaache lakini amini nguva wapo hadi leo sema hadithi za mtaani kwamba eti juu ni mwanamke hadi kiunoni halafu chini ndio samaki si kweli. Yule ni samaki full kuanzia juu hadi chini sema ana kaumbile ka kibantulady.

Na zile picha tunazoziona si ni zakuchora? Kama kusadikika vile
 
Na zile picha tunazoziona si ni zakuchora? Kama kusadikika vile

Ni kweli hata hapa kwetu Tz miaka ijayo vitukuu vyetu vitaonyeshwa picha za Tembo na bado havitaamini vitajua ni za kusadikika(Hapa sijakulenga wewe usimaindi)kwa sababu tembo watakua wamemalizwa na CCM (atakaye vimba poa tu na apasuke)
 
Haha usijali mkuu na asante kwa somo...
 
Huyu jamii ya vunja chungu anaepatikana maeneo yanye miiba mingi hivyo ambadilika kufuata mazingira hayo!
 
Pamoja sana mkuu, napenda hayo mambo ya utafiti, ukirudi uje na somo kwa faida yetu

Usijal mkuu kazi zangu mimi ni za porini tu mambo ya mawe na vitu kama hivyo tutabadilishana mawazo kiroho safi.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamii ya vunja chungu anaepatikana maeneo yanye miiba mingi hivyo ambadilika kufuata mazingira hayo!

Tuma salamu tafadhali ila wasizidi watu wawili na nusu je umeangalia miguu yake huyo kiumbe? Ipo mingapi na vunja jungu ana miguu mingapi?
 
Sasa rafiki yangu Manking panzi ni mnyama au mdudu? Haa ha haa shikamoo kwangu tafadhali.

Mkuu marahaba, hahahaa kuanzia dodoma sungida shinyanga na mwanza kuna aina fulani ya panzi wa kijani hawaruki sana(hawana mabawa) nikajua ndo mwenyew kama ni mnyama basi ya Mungu mengi
 
Mkuu marahaba, hahahaa kuanzia dodoma sungida shinyanga na mwanza kuna aina fulani ya panzi wa kijani hawaruki sana(hawana mabawa) nikajua ndo mwenyew kama ni mnyama basi ya Mungu mengi

Usije ukakuta unamaanisha ngeda? Wale ambao ukiwagusa wananuka dunia nzima?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom