Mnyama gani huyu!!

Mnyama gani huyu!!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,339
Reaction score
16,797
1978695_562043987203379_1944651301_n.jpg
 
sijui mdudu sijui mnyama!!hivi Tanzania tunao hawa!
 
Hapana mkuu hata babu yangu hajawakuta hawa historia yao inafanana na wale mijusi wakubwa waliokua na uwezo wa kumla mnyama mkubwa kama tembo.

Mkuu hua nadhani majina mengine ya viumbe hubuniwa tu na wala hawakuepo, hao dragon, nguva, na wengine hua nina wasiwasi
 
Mkuu hua nadhani majina mengine ya viumbe hubuniwa tu na wala hawakuepo, hao dragon, nguva, na wengine hua nina wasiwasi

Naamini ktk maisha yako kuna viumbe hai vingi na bado hujaviona na vingi vyao vipo ktk hatari ya kutoweka ktk uso wa dunia ngoja hayo tuyaache lakini amini nguva wapo hadi leo sema hadithi za mtaani kwamba eti juu ni mwanamke hadi kiunoni halafu chini ndio samaki si kweli. Yule ni samaki full kuanzia juu hadi chini sema ana kaumbile ka kibantulady.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom