Mnyama gani humpendi?

Nikiwa mdogo mama alikua ananiambia mwanaume gani unaogopa kinyonga ila nimekua mpaka leo namwogopa mno, ila nikawashangaza nyoka namkamata hata awe mkali vipi
Kinyonga simpendi alivyo na pia ule mwendo wa kifala fala kama Hana haraka, nyoka naogopa sumu mzee wengine akikuuma huponi au unakuwa mlemavu. Chura mbayaaaa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…