EARPHONE
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 355
- 66
Kwa wale mlio nunua visimbuzi vya Azam tv,vp huduma zao kwa ubora wa picha,sauti na chanel zilizomo
---------------
---------------
pamoja na chanel nzuri walizonazo azam tv,pia za kibongo walikuwanazo toka mwanzoni ni tbc1,chanel 10,clouds tv,tvz na sasa wameingiza itv na eatv nawapongeza sana kwa hilo ila tunaomba muweke na star tv mapema iwezekanavyo.....nawasilisha...!