Mnazionaje huduma za Azam tv?

EARPHONE

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
355
66
Kwa wale mlio nunua visimbuzi vya Azam tv,vp huduma zao kwa ubora wa picha,sauti na chanel zilizomo

---------------

pamoja na chanel nzuri walizonazo azam tv,pia za kibongo walikuwanazo toka mwanzoni ni tbc1,chanel 10,clouds tv,tvz na sasa wameingiza itv na eatv nawapongeza sana kwa hilo ila tunaomba muweke na star tv mapema iwezekanavyo.....nawasilisha...!
 
Do not test Alternative hypothesis to the JF. Lini wameanza rusha matangazo yao au?
 
Hivi hao Azam Tv hawana m2 wa maSOKO? manake mi sielewi watu wanataka kujua km nihizo chanel 48 nizipi ili m2 kabla hajanunua ajue kilichomo ss naona hapa watu wanaham ya Taarifa za Azam lkn hakuna mwenye nazo zakutosheleza!!
 
Hawa jamaa wako kimya sana,nasikia kuna chanel za uarabuni{MBC1,2,3,4,max,drama&action} wameongeza zitaonesha movies na WWE, TNA..Lakini nilitaka uthibitisho kabla cjanunua kisimbuzi chao
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom