LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,466
- 822
Enzi zetu tunasoma MTC ndo ilikuwa njia yetu kwa gari
dah ! Mkuu umenikumbusha mbali sana miaka hiyo mkuu wa chuo akiwa zuberi,usajili killagane,makamu mzee kunjumu, dah aisee kitambo sana
Enzi zetu tunasoma MTC ndo ilikuwa njia yetu kwa gari
Nimekumbuka sana miaka ya 80 wakati huo tunatumia sabuni za MBUNI,ILULA,BOBY SOAP,KODRAI.NA MAFUTA YA KUPAKAA YA LADY GUY,YU,SABUNI ZA KUOGEA ZA RUMI KUTOKA KIWANDANI TANGA.HII LEO VIWANDA HIVI HAVIPO TENA.TUJIKUMBUSHE WADAU WA MIAKA HIYO.
dah ! Mkuu umenikumbusha mbali sana miaka hiyo mkuu wa chuo akiwa zuberi,usajili killagane,makamu mzee kunjumu, dah aisee kitambo sana
Sabuni: Panga, Kanga, Jogoo: Revola, Rexona:
Mafuta ya kujipaka: Rayes(rangi mbalimbali), Zanzibar liquid, Shanty,
Mafuta ya kula; Milda, korie, kimbo, kasuku, kcc, eliantho,
Soda: Double cola,
Kandambili: Pajero (sendeu, rayiyoo, katambuga). Sky way
Betri za radio ziliitwa "mawe ya tochi au radio", bulb ya tochi iliitwa "glopu". Dawa ya kutuliza maumivu ilikuwa ni Aspirin.
Kuna sabuni iliitwa mbunju,mashati ya Juliana,jeans aina ya savco, c.h.u.pi aina ya VIP ilikuwa inakatika na kupanda mpaka kifuani.Mafuta ya shanti ukijipaka halafu ukapita maeneo yenye nyuki lazima wakufuate.Ilimtokea rafiki yangu pale chang'ombe primary dar 1990
Aaaagh wapi Hemedi (RIP) ... Mwaikokesya.... Mahona... Hii ni 1992 to 1995.
hahahaKuna sabuni iliitwa mbunju,mashati ya Juliana,jeans aina ya savco, c.h.u.pi aina ya VIP ilikuwa inakatika na kupanda mpaka kifuani.Mafuta ya shanti ukijipaka halafu ukapita maeneo yenye nyuki lazima wakufuate.Ilimtokea rafiki yangu pale chang'ombe primary dar 1990
Mafuta ya SHANTI. Ya njanoooooo (orange?j
Komoa!! Mshindi!! Na dawa ya viatu ilikuwa kiwi tuSabuni: Panga, Kanga, Jogoo: Revola, Rexona:
Mafuta ya kujipaka: Rayes(rangi mbalimbali), Zanzibar liquid, Shanty,
Mafuta ya kula; Milda, korie, kimbo, kasuku, kcc, eliantho,
Soda: Double cola,
Kandambili: Pajero (sendeu, rayiyoo, katambuga). Sky way
Betri za radio ziliitwa "mawe ya tochi au radio", bulb ya tochi iliitwa "glopu". Dawa ya kutuliza maumivu ilikuwa ni Aspirin.
Utoto bhana...hizo pesa nakumbuka zilikua zinawekwa mwisho wa vitabu vya darasa la kwanza na la pili HESABU, sasa walichokosea walikua wanaweka rangi na size sawa km pesa halisi...
Kasaloo Kyanga na pacha wake Kyanga Songa walishafariki muda mrefu. Tshimanga Asosa bado yupo.KASALOO KYANGA NA ASOSA SHIMANGA....... KAMA KUNA MTU ANAWAFAHAMU HAWA WATU... BASI AJUE NIMEPOTEZA VHS ZAO NAZITAFUTA......
Sent using Jamii Forums mobile app