Mnazikumbuka sabuni na mafuta haya?

Mnazikumbuka sabuni na mafuta haya?

Imperial ilikuwa inatoka Kenya Hiyo tuiite ZAMANI MPAKA SIKU HIZI
Sabuni za kufulia za vipande Kodroy hadi miaka ya 2010 nilikuwa naziona sana zikiuzwa katika carton ya vipande vidogo 100. Sabuni nyingine ambayo ni ya muda mrefu lakini imeendelea kuwepo hadi hii leo ni Imperial Leather Soap. Hiyo ni ya kuogea na ina kikaratasi fulani hivi ambacho uwa kinabaki hata pale sabuni inapokuwa imeisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom