Mnazikumbuka sabuni na mafuta haya?

Mnazikumbuka sabuni na mafuta haya?

Kodrai bado naiona sokoni na ndio sabuni yenye viwango bora kuliko hizi za sasa br
 
Sabuni ya kodrai siku hizi??????? utakuwa unaifananisha na jamaa ya KENYA.

Nakumbuka kodrai ilikuwa inatengenezwa na kiwanda cha boby soap pale chang'ombe cha Mohammed villani.
 
Sabuni ya kufulia ya Hisopu
 
Hivi sabani za mbuni haipatikani kabisa eeh! Ilula ndio ilikuwa mambo yote kama ilivyo kuku sasa hivi, sabuni ya ushindi nayo sijui iliishia wapi
 
Kabla ya hapo, kulikuwa pia na sabuni za Gardenia, mafuta ya mikebe yenye harufu nzuri sana yakiitwa Sudania, Yollanda, Sabuni za Life Boy, n.k.


Nimekumbuka sana miaka ya 80 wakati huo tunatumia sabuni za MBUNI,ILULA,BOBY SOAP,KODRAI.NA MAFUTA YA KUPAKAA YA LADY GUY,YU,SABUNI ZA KUOGEA ZA RUMI KUTOKA KIWANDANI TANGA.HII LEO VIWANDA HIVI HAVIPO TENA.TUJIKUMBUSHE WADAU WA MIAKA HIYO.
 
Kabla ya hapo, kulikuwa pia na sabuni za Gardenia, mafuta ya mikebe yenye harufu nzuri sana yakiitwa Sudania, Yollanda, Sabuni za Life Boy, n.k.

Duh. Mkuu umenikumbusha Yollanda kwenye mkebe wa kijani. Yalikuwa mazuri sana.
 
Sabuni: Panga, Kanga, Jogoo: Revola, Rexona:
Mafuta ya kujipaka: Rayes(rangi mbalimbali), Zanzibar liquid, Shanty,
Mafuta ya kula; Milda, korie, kimbo, kasuku, kcc, eliantho,
Soda: Double cola,
Kandambili: Pajero (sendeu, rayiyoo, katambuga). Sky way
Betri za radio ziliitwa "mawe ya tochi au radio", bulb ya tochi iliitwa "glopu". Dawa ya kutuliza maumivu ilikuwa ni Aspirin.
 
Hii kopo ya shanti ilikuwa ni kipimo kizuri sana cha mbinyoo(chang'aa ) ilikuwa senti hamsini napiga half kikopo chap nasepa inaenda kujibu mbele
 
Nimekumbuka sana miaka ya 80 wakati huo tunatumia sabuni za MBUNI,ILULA,BOBY SOAP,KODRAI.NA MAFUTA YA KUPAKAA YA LADY GUY,YU,SABUNI ZA KUOGEA ZA RUMI KUTOKA KIWANDANI TANGA.HII LEO VIWANDA HIVI HAVIPO TENA.TUJIKUMBUSHE WADAU WA MIAKA HIYO.
Wapi HISOAP Iyunga Mbeya...?
 
Ila sabuni mbuni ndio sabuni pekee nimewahi kutumia bila kujutia uzuri wake . Rest in peace all industries in tanga
 
Kabla ya hapo, kulikuwa pia na sabuni za Gardenia, mafuta ya mikebe yenye harufu nzuri sana yakiitwa Sudania, Yollanda, Sabuni za Life Boy, n.k.

Umenikumbusha enzi zile tukipata bidhaa zenye ubora ktk duka kubwa la RTC Arusha karibu na clock tower.
 
Sabuni-Rexona,asepso,Ilula,
Mafuta-mamis,lady gay,yu,bint al sudan
Battery-national,
Radio cassete-memory q,
Viatu-rison,
Shati-slim feet(juliana)
Kiongozi-mwalimu,
Charehani-singer,
Suruali-pekos
Mziki-ringala(orch kiam,tp ok ,soul brothers au masantula)
Nywele-afro
Gauni-shift
Radio station-R.TD
Watangazaji-D.Wakati,Sara Dumba nk
Magazeti-Uhuru, mfanyakazi
Magari-Rand lover,peugeot,Bedford,Isuzu txd50,Leyland
Pikipiki-Honda 50,90cc.
Mbali tumetoka.
 
Back
Top Bottom