Baba Wille
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 548
- 557
Kwa miaka ya 90 mi nakumbuka mafuta ya Rays?
Sabuni-Rexona,asepso,Ilula,
Mafuta-mamis,lady gay,yu,bint al sudan
Battery-national,
Radio cassete-memory q,
Viatu-rison,
Shati-slim feet(juliana)
Kiongozi-mwalimu,
Charehani-singer,
Suruali-pekos
Mziki-ringala(orch kiam,tp ok ,soul brothers au masantula)
Nywele-afro
Gauni-shift
Radio station-R.TD
Watangazaji-D.Wakati,Sara Dumba nk
Magazeti-Uhuru, mfanyakazi
Magari-Rand lover,peugeot,Bedford,Isuzu txd50,Leyland
Pikipiki-Honda 50,90cc.
Mbali tumetoka.
Nakumbuka kodrai ilikuwa inatengenezwa na kiwanda cha boby soap pale chang'ombe cha Mohammed villani.
Baiskeli _ swala
Usafiri_ Railway
Tyle Genelar tyle
life boy rexona, kisuraKabla ya hapo, kulikuwa pia na sabuni za Gardenia, mafuta ya mikebe yenye harufu nzuri sana yakiitwa Sudania, Yollanda, Sabuni za Life Boy, n.k.
Duh. Mkuu umenikumbusha Yollanda kwenye mkebe wa kijani. Yalikuwa mazuri sana.
Kulikuwa na dawa ya mswaki inaitwa Maxam mwanzoni mwa miaka ya 1980. Ilikuwa na harufu kali ya karafuu.
Sabuni: Panga, Kanga, Jogoo: Revola, Rexona:
Mafuta ya kujipaka: Rayes(rangi mbalimbali), Zanzibar liquid, Shanty,
Mafuta ya kula; Milda, korie, kimbo, kasuku, kcc, eliantho,
Soda: Double cola,
Kandambili: Pajero (sendeu, rayiyoo, katambuga). Sky way
Betri za radio ziliitwa "mawe ya tochi au radio", bulb ya tochi iliitwa "glopu". Dawa ya kutuliza maumivu ilikuwa ni Aspirin.
Vipi kuhusu Yoranda...miaka ya 90!?