Mnawezaje kuishi nyumba za mageti?

Mnawezaje kuishi nyumba za mageti?

Dah haya mambo haya. Kuna times tulihamia sehemu bush huko wakati mji bado haujakuwa. Basi majirani wanakuja hadi kuomba chumvi....sasa kila siku wao tu.

Mama akawa siku zingine anatutuma tukaombe chumbi pia kwao ili tu kubalance life isionekane sisi ndio hatuna shida. Nilikua nakereka.
 
Uswahili bana, jamaani acheni tu
Unakuta unaweka bulb kwnye older yake majiran wote wale madomo jaba watakuuliza "naona leo umekuwa tanesco"
 
NILICHOGUNDUA HIKI KIZAZI CHOYO NA BINAFSI SANA...

MSISITE KULETA MREJESHO...
 
Uswahili bana, jamaani acheni tu
Unakuta unaweka bulb kwnye older yake majiran wote wale madomo jaba watakuuliza "naona leo umekuwa tanesco"
Nimeishi magetini na uswazi. Kwa kweli magetini kuna faraja mara elfu hasa kama hupendi maisha ya kufatiliana leo jirani amekula nini, amevaa nini sijui ametoka na nani.
 
Kusaidiana tusaidiane ila masuala ya kuingiliana kwakweli mimi siyapendi. Napenda sana privacy sio kila saa uwe kwangu unijue kwa kila kitu. Hapana na hapo ndipo gate ni muhimu.
Haya mambo ya kuinteract kulikopitiliza ndiyo maana utakuta wanawake wa uswahilini hawaishi kuchambana. Mara mtu atoke mtaa wa saba na bakuri aje kwangu kuangalia leo imepikwa mboga gani ili achukue. Aisee siyo.
Yaani Mimi sitaki kuona kabisa....siku mtu akijichanganya kwangu anaomba nyanya au kitunguu nampa hela akanunue then Nampa onyo Kali Sana asirudie kufanya ujinga huo....afanye kazi
 
Yaani Mimi sitaki kuona kabisa....siku mtu akijichanganya kwangu anaomba nyanya au kitunguu nampa hela akanunue then Nampa onyo Kali Sana asirudie kufanya ujinga huo....afanye kazi
Shida inaanza unaponunua kiwanja. Wengi tunautazama uwanja tu kama umekuvutia kwa ukubwa wake au bei nzuri we unanunua. Unatakiwa pia uangalie wanaoishi hapo ni akina nani na je utaendana nao?
 
Back
Top Bottom