Msitumie folen za barabara kulala na nyumba ndogo


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
MMHH
WAZEE WA TRAFFIC NA WAKUBWA ZAO EMBU JAMANI TUSAIDIENI HILI SWALA LA FOLENI SASA
NAONA LIMEVUKA MPAKA KUINGILIA NYUMBA ZA WATU..WATANZANIA WENGI LEOHII WAMEAMUA KUANZA KURUDI MAISHA YA USIKU WA KADHAA WAKSINGIZIA FOLENI ZILIKUWA KUBWA SAN WEEWE
UNAPITA SALENDA FOLENI SAATATU IMETOKEA WAPI JAMANI

ITAFIKA STAGE NA WAKE ZETU WATASEMA NAO WAMECHELEWA SANA BOSI ALICHELEWA KURUDI OFISINI NA FOLEN IKA KUBWA KUMBE BOSI ALIKUWA AKILA TUNDA LILILOFICHWA

EMBU WANAUME KWA WANAWAKE TUNAJUA FOLENI ZIMEKUWA KUBWA SANA ILA HAASA KWA WANAFAMILIA TUJITAHDI KUWAHI KURUDI NYUMBANI UKAE NA FAMILIA YAKO HAATA KAMA UNAKUNYWA TAFUTA SEHEMU YA KARIBU NA KWENU UKINYWA HATA UKIDONDOKA UITAJI KUPELEKWA KWA KOVA MAJIRANI WANAKUBEBA MPAKA HOME ..FOLENI ZIMEKUWA GUMZO KIASI CHA SASA WATU WAMEANZA KULA RAHA NA NYUMBA NDOGO WAKISINGIZIA FOLEN NDEFU SANA SANA KAMA UAMINI KAA SIKUMOJA KATI KATI YA NJIA ANAYOPITIA MUMEO PIGA SIMU UKISIKIA NIKO HAPA MWAMBIE SHUKA SEHEMU FULANI UONE KAMA AJACHUKUA MASAA.....UTASHANGAA GUEST ZIMEJAA SINAZA KUANZIA KUMI MPAKA MBILI USIKU...HILI HAPANA JAMANI

Nyumba ndogo nanyi jamani swasemi ila jaribu kuwa na nidhamu hadi weekdays waachieni wanafamilia wafaidi mema ya nchi..kukiri mbele za watu kwenye shida na raha sio mchezo jamani embu wapeni raha
msiishi maisha ya amada kila siku amelewa yeye
 
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
6,803
Likes
379
Points
180
Masikini_Jeuri

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
6,803 379 180
Msg sent! (Tick)
 

Forum statistics

Threads 1,236,129
Members 475,007
Posts 29,247,731