Mnawezaje kuishi nyumba za mageti?

Mnawezaje kuishi nyumba za mageti?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Hizi nyumba maeneo yao hawana ujirani, walikuwa na ujirani wakati wa ujenzi labda. Wengine hata mpaka wanahamia nyumba zao za mageti hamjui jirani yake.

Haya maisha sio kabisa, Allah aniepushe na mfumo huu wa maisha na aniepushe na majirani watu wa mageti wasio jali wala kujua majirani zao. Siku hizi majirani wasalimiana kwa honi, hii adabu tumeitoa wapi?

Watu kama hawa akipata tatizo wewe ndio wavuta shuka kabisa. Raha za majirani ni msalimiane msaidiane katika shida na mfurahi pamoja wakati wa raha watoto watembeleane na siye watu wazima tusalimiane na wala tusigombanie mipaka unakuta ka sehemu kanakogombaniwa ni kahatua kamoja.

Allah aniepushe majirani waovu
 
Uliambiwa mtu akiishi kwenye geti hasalimiani au hasaidii majirani zake kila mtu ana jinsi ya kufurahia maisha wewe usiweke nyumba yako uzio wala geti hujashikiwa kisu
 
Ha ha ha me natoka saa 11 kurudi saa 7 usiku jumapili Niko free kwenda church kupumzika kukaa na familia.

Ushirikiano upo lakini miezi mitatu hamuonani.

Nilishasema mtu akija kuomba chumvi apewe hela pakti tatu mazoea ya kijinga hayafai shirikiana Mambo ya ulinzi, matatizo,furaha Mambo ya umbea umbea waachie CCM
 
NAONA WATU WA MAGETI NAONA MMEKUJA KUJITETEA...

MNGEJUA UMUHIMU WA UJIRANI MWEMA...!
 
Fensi na geti tunaweka kwa sababu za kiusalama na sio kukwepa majirani kama we unavyodhani. Wengine humu ndani ya fensi zetu tuna vimiradi tunaendesha kama vile ufugaji wa kuku, bodaboda zetu tunalaza nje, vimikweche hivi nk. Sasa usipoweka fensi itabidi uwe unalala huko nje ukilinda mali. Pia sio wote tunaishi uswahilini ambako nyumba zimesongamana, wengine tunapoishi jirani yuko mbali kiasi so usipoweka fensi na geti unahatarisha maisha yako!
 
Uko sahihi juzi imetokea mbona mwenye geti akaanza kuhaha na kuja kuomba msaada baada ya kuuguliwa ghafla
Kwahiyo majirani hamkumsaidia kwasababu ana geti? 😁😁 nyie msio na mageti hua hamuuguliwi? 😁😁 Usikute nyie mkiuguliwa mnaenda kwa mwenye geti kuomba usafiri..

Nilichogundua mimi, kama unaishi mtaa ambao nyumba zote zina fensi na geti, hua hakuna shida na majirani mnasaidiana, mnaheshimiana na kusalimiana vizuri tu... kimbembe ukute mtaani nyumba nyingi hazina fensi halafu wewe uweke fensi na geti.😁😁 majirani wote wanakuona unaringa na hata uwe unawasalimia kila siku bado hawataridhika. Hii ni tabia ya kimaskini ambapo maskini hawapendi kuona mwenzao/jirani yao akifanikiwa kuliko wao!
 
Kuna neighborhood jirani kulia mjerumani..kushoto mpakistani..
Ukigonga kusalimia unakuta house boy au housegirl.. nyumba ya tatu wenyewe wanakuja weekend tu..
 
Salamu zitakunenepesa, fanya kazi ishi vizuri. Siwez kujenga nyumba isiyo na fanc na geti kubwa. Dunia imebadirika tusiishi kiOld bro. Nisiweke fenc asubuhi gari yangu wanaing'oa kila kitu uswahilin
 
Mada yako ni ya kimaskini
Kwa nini ?
Uzio ni sehemu kubwa ya kila mmliki na miliki ya vitu vyake kuto buguzi mti na usalama kiundani.

Unataka ni paki gari ccm,kama ulijenge nyumba bila plan na mitaa ya kuongeza chumba tu na wototo.
 
Nyumba za geti ni ylza kiboya sana aise. Papuchi za wauza vitumbua utaziskia kwny bomba tu..

Mfano mie Jana kuna jiran yangu wa kike alikuja kuomba eti achemshe chakula maana ges imemuishia..

Nikajkuta namtafuna kimasihara..

Sasa hapo kungekuwa na geti si angenipita akaenda kwa baharia asiye na geti... Aaaahhhh
 
Back
Top Bottom