Mnasema wanaume ni "never mind"? Hapana, Wanawake wana msaada sana

hao watumwa??? No wonder had leo watu wanasafiri na majahaz kutokea kipumbwi mpaka mkokoton unguja niliwah kujarib mara moja niliapa sitarudia ule ujinga kaka ni risk sana
Wazungu wanapenda adventure lakini sio kama hiyo voyage uliyoifanya wewe Madame, hapo uliamua ku risk your lfe kwakweli na usirudie kama ulivyojiapiza, wapo wenyewe walozowea

Hao sio watumwa walikua ni manamba yaani vibarua waliokua wanafanyakazi kwenye mashamba ya mkonge ya Tanga ndio waliokua wakichukuliwa na kukusanywa pale Kipumbwi na Sakura wakiwa na mapanga yao makali kwenda kufanya mapinduzi ya zanzibar ya mwaka 1963, ni historia inayofichwa kwa sababu zisizoeleweka dada, mimi nimesoma kwenye vitabu
 
ilikuwa lazima kusafiri babe??
Haikua lazima sema walikua wanasema tanga unguja karibu sana kwa njia ya maji sio kama kupitia dar unazunguka na wakat huo kulikuwako na meli moja tu nayo inakuja kila jumanne nikasema hebu nione nikaebda had kipumbw nikafika kwenye saa kumi kutokea tanga mjini meondoka saa mbili asubuh pale kipumbwi tukalala saa tisa alfajiri tukapanda jahaz nilitaka kurud sema nikasema leo had nione nikapanda nilikoma mana tulifika mkokoton saa moja asubuh nimechoka nilitapika had maji nilokunywa had nafika nakokwenda niko hoi nikasema sitakaa nikafanya ujinga ule
 
😀😀😀😀😀😀, poole sana dada ni kumbukumbu nzuri lakini
 
mmnh hii ndio nasikia kwako kaka kuhusu hao manamba

Halaf sasa nilitaka kupitia kigombe wakawa wananitisha et majahazi hupotea nikasema kisa cha kuokotwa kenya nan anataka kuna sehem inaitwa sahare nako wanaenda kukawa nanajali nikasita nikaambiwa pangani nako utaratib sikupata nikapata ya kipumbwi nilitaka tu kuona how far kutoka kipumbwi na unguja na ninkarib sana kama jahaz litafungwa mashine ya kukata maji sie tulienda na tanga linasukumwa nanupepo niliogaje maji ya bahari hahaha yan hii safar hua siisahau
 
😀😀😀😀😀😀, poole sana dada ni kumbukumbu nzuri lakini
Hahaha asante kwa kweli sijui nilipataga wapi ujasiri ule, kila napoangalia tumezungukwa na maji najisemea ya rabbi tukizama hapa nani ananiona s nakufa bila kupiga kelele?? Nilikua naomba dua zote siku hiyo wengine walikua wamelala nawasifu kwenye meli tu silali mm ije kua jahazi?
 
Haikua lazima sema walikua wanasema tanga unguja karibu sana kwa njia ya maji sio kama kupitia dar unazunguka na wakat huo kulikuwako na meli moja tu nayo inakuja kila jumanne nikasema hebu nione nikaebda had kipumbw nikafika kwenye saa kumi kutokea tanga mjini meondoka saa mbili asubuh pale kipumbwi tukalala saa tisa alfajiri tukapanda jahaz nilitaka kurud sema nikasema leo had nione nikapanda nilikoma mana tulifika mkokoton saa moja asubuh nimechoka nilitapika had maji nilokunywa had nafika nakokwenda niko hoi nikasema sitakaa nikafanya ujinga ule
kuna risk zaidi ya hii uliyowahi katika maisha yako??

usicheze na maisha babe YOLO
 
Nyingine nakumbuka wakat narudi kutoka unguja kuja dar, meli ilikua flying horse tena hiyo tu imebaki kwa usiku na wakawa wanambia hapo ni kuwahi kupanda vinginevyo tiket umekata na meli waweza usipate vilevile aisee babe nikasema leo lazima nirud asubuh niamkie dar hata kaa meli imejazaje baadae nishaingia kwenye meli ndio nakumbuka mtumee yakotokea kama titanic hahahhaha nikasena next time kabla sjakata nijue taratibu
 
Duuh! Haya kama mnazo pesa Mfanyage tu japokuwa naiona haina tofauti na kutia mkono kizani hiyoo.

Japokuwa kwa mbaali nawaza ni Ke wangapi ambao wana akili za kuomba kufunguliwa biashara au hata kuwa na mawazo hayo hasa wakiwa na Me wenye kuwapa pesa ya maana zaidi ya kufanya mambo ya kujionyesha onyesha ikiwemo kuvaa na vitu vingine visivyo na faida.
mwanamke akipevuka huwa na akili njema kabisa, nawe huwa unajielewa sana rafiki
 
Nyingine nakumbuka wakat narudi kutoka unguja kuja dar, meli ilikua flying horse tena hiyo tu imebaki kwa usiku na wakawa wanambia hapo ni kuwahi kupanda vinginevyo tiket umekata na meli waweza usipate vilevile aisee babe nikasema leo lazima nirud asubuh niamkie dar hata kaa meli imejazaje baadae nishaingia kwenye meli ndio nakumbuka mtumee yakotokea kama titanic hahahhaha nikasena next time kabla sjakata nijue taratibu
mwanamke wangu una uthubutu
 
Wengi Ke huwa wanataka vitu vya luxury na Me hua wanaona sawa tu wanawapa hivyohivyo, lakini wote wngekua wanajiongeza wangweza fanya mambo yenye faida na kuendelea
wanaume wengi huwaza pale njia panda kwa wadada, wala hawawaza kesho yao, so akiombwa chochote anatoa maadam ataruhusiwa ku aksesi paleee
 
Back
Top Bottom