Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,045
- 126,063
Hivyo na weye wataka uwe unajiongeza eeee?Wengi Ke huwa wanataka vitu vya luxury na Me hua wanaona sawa tu wanawapa hivyohivyo, lakini wote wngekua wanajiongeza wangweza fanya mambo yenye faida na kuendelea
Kama unayo mengi nipe na mie hayo mahela niyazungushe huku Uchagani [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol