Mnaotumia Condoms mnawezaje?

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,470
Reaction score
2,287
Kwenye hoja moja kwa moja.

Mambo si mengi. Hebu tupeane uzoefu wenzangu mnawezaje kutumia condoms na mkafika mshindo chap? Mimi nikitumiaga hiyo mavitu aisee naweza kumchubua mtoto wa watu.

Nakimbiza hata dakika 45 bila bila. ILA tukiingia nyama do 20 ndo wastani.

Condoms naona hazileti uroda kabisa. Ni kama kupiga puchu tuu.

Mnawezaje wajuvi kufurahia condoms?
 
Kweli kabisa condom sijui watu wanawezaje maana dah hamna utamu kabisa hasa sie wenye vibamia🤣🤣🤣🤣
 

Unadinyana vipi na mkeo au mpenzi wako ukiwa umevaa gwanda?

Gwanda ni jezi ya wazinzi...
 
Mtu wa hovyo kabisa wewe. Ukimwona mgonjwa wa Ngoma aliyejichokea sidhani kama utapata ujasiri wa kusimamisha bila condom.

Bahati mbaya wagonjwa wengi wapo majumbani hawaonekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…