Mnaotoka Mtwara

nna kiwanja kikubwa..... nimenunua bei yA kutupa 0.8 milion..... nna mashamba ya korosho hekta kadhaaaa,,,,, em young at 28 age.......
 
Wala sija miss-quote, Amesema kutakuwa na viwanda, ajira etc, neema inakuja!!! Ninachosema ni kuwa hakuna neema. Wasubiri treatment kama ya Nyamongo, buhemba etc . hakuna lolote la neema.

Hayo yako wewe kwenye nyekundu.

Sasa wewe unafikiri Gas itajitoa yenyewe huko bila kuwa na mitambo na storage na transfer stations na viwanda vya kuitumia? Unanchekesha!
 
Hii ni mwanzo tu, hapo Mtwara kampuni ya kua umeme wa Gas Artumas ikitumia mitambo ya Mantrac:

mtl5.jpg

Na hii iko njiani:

Artumas says sees 300 MW power for Tanzania by 2012

Canada's Artumas Group Inc (AGI) AGIC.OL expects a 300 megawatts (MW) natural gas-powered project it is working on in southern Tanzania to be operational in 2012, a senior company executive said on Monday.

Artumas, along with the Tanzanian government, is currently looking at a feasibility study into the scheme, and the building of more than 500 km of high voltage lines from Mtwara.

"On the 300 MW project ... we have completed the first stage feasibility work, but we are looking at approximately four years of project development, so hopefully, as we move towards 2012, we will be up," Steve Mason, Artumas chief executive, told Reuters in an interview.

Soma zaidi: Artumas says sees 300 MW power for Tanzania by 2012 | Reuters
 
Niliondoka Mtwara mwaka 2003 nikarudi baada ya miaka 7 nilichoona cha maendeleo ni uanzishwaji wa daladala tu mjini ila mazingira na kila kitu ni yale yale.Hapo ni changa la macho hamna chochote
 
Huna lolote mzushi tu, kwa hiyo ulitaka hayo mafuta na hiyo gesi viendelee kukaa tu chini, na unataka nani aje kufanya hivyo il hall sisi wenyewe tumeshindwa kuchimba? barabara ya Masasi - Songea imeshaanza kujengwa unataka kutuambia nini. Hujui unenacho.
Mungu akusamehe hujuhi usemalo,Hiyo barabar ya Masasi Songea nikwa ajili ya kupeleka Mitambo ya kuchimbia na Kusafirishia URANIUM Nantumbo,Pia na yale makaa ya mawe kule kusini.
 
Madhali tutaendelea na mikataba mibovu tuliyo nayo ya madini hivi sasa Watanzania na watu wa Mtwara hawatafaidika chochote na madini hayo.
 
Huna lolote mzushi tu, kwa hiyo ulitaka hayo mafuta na hiyo gesi viendelee kukaa tu chini, na unataka nani aje kufanya hivyo il hall sisi wenyewe tumeshindwa kuchimba? barabara ya Masasi - Songea imeshaanza kujengwa unataka kutuambia nini. Hujui unenacho.

Wewe inaelekea ni darasa la saba failure. Ishu hapa ni kwa namna gani watanzania wenzetu wa mtwara watanufaika. Hofu yangu ni kutokana na historia ya mikataba ya madini na kinachowatokea wananchi wanaowakuta sehemu zenye madini. Sio ishu ya kuchimba. Sio ishu ya barabara, ni yulemwananchi wa kawaida na haki zake za msingi, sio barabara.
 
Hii ni mwanzo tu, hapo Mtwara kampuni ya kua umeme wa Gas Artumas ikitumia mitambo ya Mantrac:

mtl5.jpg

Na hii iko njiani:

Artumas says sees 300 MW power for Tanzania by 2012

Canada's Artumas Group Inc (AGI) AGIC.OL expects a 300 megawatts (MW) natural gas-powered project it is working on in southern Tanzania to be operational in 2012, a senior company executive said on Monday.

Artumas, along with the Tanzanian government, is currently looking at a feasibility study into the scheme, and the building of more than 500 km of high voltage lines from Mtwara.

"On the 300 MW project ... we have completed the first stage feasibility work, but we are looking at approximately four years of project development, so hopefully, as we move towards 2012, we will be up," Steve Mason, Artumas chief executive, told Reuters in an interview.

Soma zaidi: Artumas says sees 300 MW power for Tanzania by 2012 | Reuters

Heri umewapa live, watu wanachonga sana kuhusu Mtwara, wengine wanasikia tu hawajawahi kufika.ukiwaambia Mtwara hatujui mgawo wa umeme watabisha, sijui wana akili gani.
 
Hii ni mwanzo tu, hapo Mtwara kampuni ya kua umeme wa Gas Artumas ikitumia mitambo ya Mantrac:

mtl5.jpg

Na hii iko njiani:

Artumas says sees 300 MW power for Tanzania by 2012

Canada's Artumas Group Inc (AGI) AGIC.OL expects a 300 megawatts (MW) natural gas-powered project it is working on in southern Tanzania to be operational in 2012, a senior company executive said on Monday.

Artumas, along with the Tanzanian government, is currently looking at a feasibility study into the scheme, and the building of more than 500 km of high voltage lines from Mtwara.

"On the 300 MW project ... we have completed the first stage feasibility work, but we are looking at approximately four years of project development, so hopefully, as we move towards 2012, we will be up," Steve Mason, Artumas chief executive, told Reuters in an interview.

Soma zaidi: Artumas says sees 300 MW power for Tanzania by 2012 | Reuters

Lakini bado hujatuambia alichokisema JK kwa mujibu wa ulivyoskia. Tujuze kwa kirefu basi shosti, acha hizi porojo za Megawati za kwenye makabrasha zilizochusha hata zikakwamisha bajeti ya Ngeleja na pia kumuibua Jairo mzima mzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom