BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,311
- 23,476
😂😂😂😂😂..lakini Ccm watakuwa wameondoka.
..au Ccm na Cdm wataungana kupigania demokrasia.
..maandamano yataongozwa na Samia na Tundu Lissu.🤣

Wanaopaswa kuwaongoza Wananchi pindi wanapochukua hatua ni Wanajeshi maana duniani kote Jeshi ndo Taasisi ya mwisho kusimama na Wananchi.Vyama vya siasa vimejaa mapandikizi. Wananchi walitakiwa wenyewe kwa umoja wao wasimamie kile wanachokitaka na mwanasiasa yoyote anayewakwamisha walitakiwa wamuwajibishe.
Viongozi wa kweli watajulikana katikati ya fukuto la shinikizo la wananchi.
Acha Jeshi lichukue Nchi tu mbona ninyi hamkushauri Chadema ilipozuiliwa kushiriki uchaguzi? mbona mlikaa kimya Tundu Lissu alipo onewa na Mahakama ya CCM ?Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.

Kutaka jeshi lipindue nchi ili kuwa na demokrasia ni sawa na kusema mgonjwa auawe ili apate nafuu.Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
na burkina faso jeNilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
That would be a sight to behold 😆..Ccm nao waje kitaa waanze kupigwa na kutekwa kama wanavyofanyiwa wapinzani.
..we will all be in the same boat and that is when the struggle for a real and just democracy will begin.
Naona leo mafisadi , majizi,chawa na kunguni hamna amani kulikoni ?
Mmesema sio mwanajeshi ni video ya AI mara aliyoongea ni uongo sasa wasiwasi wa nini?
Things are boiling nicely it is no longer a walk in the park.When a gunbarrel takes over, it does have affinity to anyone. Just orders. Now that's very perplexing to Veggies 😆
Things are boiling nicely it is no longer a walk in the park.
Sasa kama CCM haitaki kuheshimu demokrasia ya vyama vingi na kuleta mabadiliko kwa njia ya kistaarabu yaani uchaguzi huru na wa haki maana yake wanataka shari na shari wataipata .Nilikaa mbali na mijadala ya kisiasa kwa muda ila nimelazimika kulisema hili. Huu uzi nilikusudia kuuleta kitambo sana ila nikawa napotezea au kuahirisha kuuleta.
Kuna watu kutokana na sababu wanazojua wao wamekuwa wanatoa kauli za kutaka JWTZ lichukue uongozi wa nchi. Kuna wakati hadi nahisi kuna wanaharakati ambao ni mapandikizi waliowekwa ili kuwalinda CCM na viongozi wake pale hali itakapokuwa ngumu sana kwao.
Nasema hili la jeshi linaweza kuwa pona ya CCM. Kama mnataka mrudi nyuma hatua 50 kwenye demokrasia basi mkubaliane na hilo.
Sehemu kama Sudan, harakati za demokrasia zilizikwa rasmi baada ya jeshi kuingilia kati. Misri ni hivyo hivyo. Maeneo mengi tu demokrasia ilirudi nyuma sana baada ya mapinduzi ya kijeshi.
Mnapopambana kupata uchaguzi huru na wa haki, msitamani kamwe njia za mkato kama hizo za kutaka jeshi lichukue nchi.
Haijalishi. Hii nchi ilipofika sasaivi ni lazima tuanze upya.Kutaka jeshi lipindue nchi ili kuwa na demokrasia ni sawa na kusema mgonjwa auawe ili apate nafuu.
Jeshi linachujua nchi lini sasa?Haijalishi. Hii nchi ilipofika sasaivi ni lazima tuanze upya.
CCM wame collapse kila kitu. Tunaunga mkono Jeshi kuchukua nchi
What if all civilian political tools and apparatus have been hijacked by the cabal (deep state). What else should civilians hope except military .....?Hiko unachotaka jeshi ikifanye, raia na taasisi za kiraia wanaweza kukifanya kwa ufanisi zaidi. Ukiruhusu jeshi liingie leo, nini kitalizuia kesho kuingia tena?
Mashinikizo ya kisiasa ndiyo njia pekee sahihi ya kuiondoa CCM. Ilibidi kuishinikiza hadi kuipeleka katika meza ya mazungumzo. Njia za mashinikizo zipo na mnazijua ila hamtaki kuzitumia kwa sababu ya woga na kutegeana.
Lijinga hilo mkuuHujitambui wewe
Watanzania tuko tayari na tunataka sana Jeshi lichukue nchi na tuanze upya.
CCM mmeharibu kila kitu sasahivi nchini.
Mmeua mifumo yote Si Bunge, Si Mahakama, Si Polisi si Usalama si TAKUKURU
Wanasiasa ndo wamekuwa miungu watu na Ufisadi ndo umetamalaki.
Wananchi wanauliwa na kutekwa wengine kuwekwa Magerezani na kufungwa bila hatia kwa sababu ya kusimamia ukweli.
Wananchi kwa sauti moja tunataka Jeshi lichukue nchi na tuanze upya.
Lisimamie mchakato wa Katiba Mpya ili Wananchi ndo tuwe na sauti ya mwisho juu ya nchi yetu.
We tuondolee ujingaCCM inaweza kuondoka vizuri tu kwa mashinikizo ya kisiasa. Hao wanajeshi wangesisitizwa wabaki makambini watimize viapo vyao kwa ukamilifu, siasa wawaachie wananchi, wanasiasa na vyombo vya kisiasa.