miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
mimi mwenyewe nataka utamu .. unaweza kuolewa ukakuta na vitu vichachu najilia huku nje na niolewe nipambane na nitakavyo vikutaaagh, unaharibu sasa na wewe tuache si tusiooa (masharobaro) tujilie vitamu ivyo,
utaacha akina rubii, miss chagga washtuke.
Kumekuwa na vilio kutoka kwa mabinti kuwa hawaolewi sasa babu yenu nimewasikiliza sana na kuwaonea huruma. ...dawa ya kupata ndoa Usionjeshee.
mimi mwenyewe nataka utamu .. unaweza kuolewa ukakuta na vitu vichachu najilia huku nje na niolewe nipambane na nitakavyo vikuta
Sasa kwanini tuogope sie?
tena haswaaaaahahaaa, duh! kweli vitamu vinapendwa.
Acha unoko, tutawapa tu....
Hiyo hakuna formula spesheli aisee! unaweza ukakifichaficha ukadoda nacho na anayegawa akaolewa na tarumbeta utamchezea.
Huyu atakua ajui ile law of use and misuse... Practice make perfect.
I think ulimaanisha law ya Use and disuse.... sio misuse
mmmh! disuse ndo kitu gani?
mmmh! disuse ndo kitu gani?
Ni kuonjeshana tu oryt oryt mu add Kaboom na BADILI TABIA nakutumia na namba nyingine