Mnaotaka kuolewa msionjeshe

Mnaotaka kuolewa msionjeshe

Hiyo hakuna formula spesheli aisee! unaweza ukakifichaficha ukadoda nacho na anayegawa akaolewa na tarumbeta utamchezea.

Umeongea ukweli mtupu,Mwanamke anayeolewa ni yule aliyeamua kuwa mke kweli haijalishi alikuwaje kabla,kuna wanawake mabikira hawafai hata kuwa wake wa kuigizia.
 
Ndoa inaandikwa na Mungu..unaweza ugande bila kuonjesha hadi uzee unakukuta na hata usiulizwe ' Utaratibu wa kuwaona wazazi upoje'..
 
Eti unasemaje? Ungejua vya kuonja vitamu kuliko vilivyoandaliwa mezani...jaribu uone.
 
Hawa watu hawatabiriki unaweza kumnyima na ukaachwa na unaweza kumpa akakuacha hivyo ni kumpa tu

Kwani si tunaonjana? manake na wao tunawaonja kama vibamia au laa na pumzi zao zinaruhusu mbio ndefu au fupi...kuonjana ndo habaree...
 
Kwani si tunaonjana? manake na wao tunawaonja kama vibamia au laa na pumzi zao zinaruhusu mbio ndefu au fupi...kuonjana ndo habaree...

Nanaa umeniuwa mbavu dear maana unaweza kuta Mgobole au hamna kabisa au ipo pambo halafu ndoa ikanishinda maana
 
Kumekuwa na vilio kutoka kwa mabinti kuwa hawaolewi sasa babu yenu nimewasikiliza sana na kuwaonea huruma. ...dawa ya kupata ndoa Usionjeshee.

Nani achukue shipa!!? Kuonja lazima.
 
Nanaa umeniuwa mbavu dear maana unaweza kuta Mgobole au hamna kabisa au ipo pambo halafu ndoa ikanishinda maana

Shost inahusu unaingia ndoani bila kuonja halafu unakuta gia box imekufa, au ya kichina.....Kuonjana lazima tena iwekwe kwenye katiba inayopendekezwa kama wamesahau...
 
Ukionja ndo vizuri,maana nyingine utafikiri unafua,maji kibaooooooo,ila zingine zinabanaaaaa na tamu wacha we,
 
Back
Top Bottom