Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Hahahaa no comment
Brenda my in-law. Umejificha wapi lately?
Hahahaa no comment
Acha unoko, tutawapa tu....
Uzinzi ni dhambi mbaya sana
Tatizo siku hizi baadhi ya wadada wamekuwa na tabia ya kuonjesha hadi mlango wa nyuma. Vijana kuweni makini, ukionja mlango wa mbele hakikisha unatumia tricks kufahamu kama wa nyuma upo sealed au vipi...
Sidhani kama yupo kijana anayetaka kuoa mdada alofunguliwa mlango wa nyuma!!!
kiruuu kumbe kuna wanaume mapopo bawa baba mdogo?
Uwe makini sana kijana. Baadhi ya hawa wachumba zenu wamecharuka na hii teknolojia.
ki nini?
Mpendwa lakini ni muhimu kushake well before use, unaweza kuta kakifaa hakapo na ushaapa til death do you apartmpendwa mpendwa mpendwa kufahamiana huko,...kuna hatar kabla ya ndoa
Member nambari one nipo hapa
aagh, unaharibu sasa na wewe tuache si tusiooa (masharobaro) tujilie vitamu ivyo,
utaacha akina rubii, miss chagga washtuke.
tushituke na nini? kwani sie huo utamu hatutaki?
mnaweza mkaogopa kuonjesha, uzuri wa kitu ukionje bhana.
Kwani we umeogopa?
mmh! niogope mimi tena? atakula nani hivyo vitamu?
Kwani si tunaonjana? manake na wao tunawaonja kama vibamia au laa na pumzi zao zinaruhusu mbio ndefu au fupi...kuonjana ndo habaree...