segere
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 539
- 262
Nakuja kukuonjaa....
.ukimalizana na Bavaria uje na huku..
Nakuja kukuonjaa....
.ukimalizana na Bavaria uje na huku..
Ukionja ndo vizuri,maana nyingine utafikiri unafua,maji kibaooooooo,ila zingine zinabanaaaaa na tamu wacha we,
Acha unoko, tutawapa tu....
Shost inahusu unaingia ndoani bila kuonja halafu unakuta gia box imekufa, au ya kichina.....Kuonjana lazima tena iwekwe kwenye katiba inayopendekezwa kama wamesahau...
Sitaki kuamini ni mwanamke anaetamka haya!
Unasema?
mmm kwa majibu niliyoyaona humu nadhani mleta mada harudi tena
Teh teh!! Eti anaomba usajili wa kudumu bila kufanya vipimo wala mechi za majaribio!! Haijapata tokea.Sasa wasipo onjesha michepuko itaplay part iliyobak....
Theni michepuko ikifanya vema inachukua namba ya kudumu....
Kidumu chama cha michepukoo
mmm kwa majibu niliyoyaona humu nadhani mleta mada harudi tena
Kwani si tunaonjana? manake na wao tunawaonja kama vibamia au laa na pumzi zao zinaruhusu mbio ndefu au fupi...kuonjana ndo habaree...
Hiyo hakuna formula spesheli aisee! unaweza ukakifichaficha ukadoda nacho na anayegawa akaolewa na tarumbeta utamchezea.