The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,898
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu
kutafuta mchumba humu ndani.....all in all
ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious....
sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii
chochote kile baada ya tangazo la kutafuta mchumba...
mimi huwa najiuliza maswali kibao..
je alietafuta mchumba alifanikiwa??????
je kuna yeyote aliefanikiwa kufunga ndoa
baada ya kutafuta mchumba humu???
kuna ndoa ngapi zimefungwa baada ya
member humu kuanza matangazo ya kutafuta wachumba?????
Binafsi nafikiri kwa faida ya wana jf ni vizuri tukajua.....
ili ile dhana kuwa huwezi au unaweza pata mchumba online
ijadiliwe kwa ushahidi na data kamili....
binafsi nisingependa jf iwe some kind of pick up site.....
ningependa kuona kama kuna sucsess story kwa
wanaotafuta wachumba humu,tuelezwe.ili wote tufurahie
na tuwaeleze wengine ikibidi.