Mnaotafuta wachumba hapa JF...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,461
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu
kutafuta mchumba humu ndani.....all in all
ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious....
sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii
chochote kile baada ya tangazo la kutafuta mchumba...
mimi huwa najiuliza maswali kibao..
je alietafuta mchumba alifanikiwa??????
je kuna yeyote aliefanikiwa kufunga ndoa
baada ya kutafuta mchumba humu???
kuna ndoa ngapi zimefungwa baada ya
member humu kuanza matangazo ya kutafuta wachumba?????
Binafsi nafikiri kwa faida ya wana jf ni vizuri tukajua.....
ili ile dhana kuwa huwezi au unaweza pata mchumba online
ijadiliwe kwa ushahidi na data kamili....
binafsi nisingependa jf iwe some kind of pick up site.....
ningependa kuona kama kuna sucsess story kwa
wanaotafuta wachumba humu,tuelezwe.ili wote tufurahie
na tuwaeleze wengine ikibidi.
 
Hakuna ndoa washikaji wanamegana tu ! Usawa huu uowe unatafuta matatizo ya nini?

inawezekana but we cant be sure,,,,,
halafu kuna wasichana wanakuja tafuta waume...
so na wao wanatafuta wa kuwamega tu au?????
 
.........Hivyo mtu ukioa unajitafutia matatizo?

Hisia zangu zanielekeza huko! Naweza kuwa siko sahihi....ila wengi naona wanajuta....I prefer long term relationship then mnaupgrade to cohabitation.
 
masa...
unaongea kwa kuhisi.....
au una experience ya namna hiyo
hapa????unaweza share nasi?

In real life huwezi tafuta mchumba kwa namna ninazoona hapa JF! Ndo maana nahisi jamaa wanakuwa na Uhanga basi wanatumia lugha za wachumba....I might be wrong Mazee
 
In real life huwezi tafuta mchumba kwa namna ninazoona hapa JF! Ndo maana nahisi jamaa wanakuwa na Uhanga basi wanatumia lugha za wachumba....I might be wrong Mazee

to be honest masa..
hata mimi nahisi hivyo hivyo...
ndo maana nikaomba watupe feedback...
ili nijue kama hisia zangu ni sahihi.
watueleze wangapi wameoana so far...
 
.......Wanaotafuta wachumba sehemu kama hizi wameshindikana huko mitaani. Huu ni mtazamo wangu.
 
But seriously speaking, kuna mtu yeyote kweli mwenye akili timamu anayetegemea kumpata mchumba wa maana humu? I mean sisemi kwamba haiwezekani lakini mimi sehemu kama hii naichukulia kama kijiwe cha burudani tu. Nothing too serious. Hata nikikutana na mtu hapa siwezi kumwambia jina langu la kweli wala kumpa picha yangu ya kweli au information zangu zingine za kweli. It's too risky.
 
.........Ujue kuna mabinti ni wajinga sana, wanatoa picha zao za kweli kwa wanaume, halafu utakuta mwanaume anamdanganya tu online kumbe kaoa na ana familia yake.
Nina cousin wangu ndio mchezo wake, anawadanganya sana wasichana humu online na ana picha kibao za mabinti kwenye laptop yake. Yaani yeye kafanya kama mchezo anadai anapima akili za wasichana. Halafu yeye wala hawapi picha hao wasichana, lakini wasichana walivyokuwa wajinga wanamtumia picha.
......Enyi wasichana wenzangu wenye tabia hii hebu mjue kujiheshimu, msipende kutuma picha zenu kwa wanaume humu wenzenu wanawachora tu.
Hebu tulieni mtakuja tu kuolewa, mbona wanaume wapo wengi wanaotafuta wasichana wa kuoa.........msijidhalilishe jamaniiiiii!!!
 
Yaani kama ulikuwa kichwani mwangu......
Una akili na uko mjanja sana wewe.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom