Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

N

Wikipedia yenyewe inatuambia kuwa ni Mjerumani

dont forget this as bonus
1594301620261.png
 
MKUU hata hio wikipedia uloileta wewe mwenyewe kama ushahidi juu eistein inakukatalia kama Albert alikua Muisrael Cjui kwaasili

Ila jamaa alikua Mjerumani safi kabisa aliepelekwa US kwamasuala yakimaisha naharakati zahapa napale

Albert Einstein was a German-born theoretical physicist who developed the theory of relativity, one of the two pillars of modern physics. His work is also known for its influence on the philosophy of science. Wikipedia

Born: March 14,.....

he was born in german yes but has jewsh background, read the whole article
 
Umetaja "wazungu na wamarekani" huku ukisahau kua unachokiona huko kina mkono wa waisrael......
 
Hizo ni propaganda za dini na wafuata mkumbo wanameza.

Wakishameza tayari wanakuwa inferior na kujihisi wao si chochote.

Kama hao waliochangia hii mada.
 
Mkuu sijui kama una elewa. Acha kula propaganda. Tumia akili kuelewa mambo badala ya kusema tu kumeza.Unakuwa unatumika kusambaza propanda bila kujua. Zucker sio myahudi wa asili wala Mccarthy sio myahudi wa asili.

Kama umenielewa hapo basi utatambua kwamba wayahudi wa asili ni wachache sana na hawana utofauti wa kiakili na wewe. Kama unataka kufanya jambo kubwa unaweza. Chukua tu hatua.
Ni vema sana unaposema siyo, ukasema sahihi ni hivi au vile.
 
Ni taifa teule la Mungu, ni rafiki wa mungu, na ni watu wa mungu. Kila mkiristo na mwenye akili analijua hilo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Naomba utwambie Taifa la Shetani ni lipi, rafiki wa Shetani ni yupi ambaye kila Mkristo na mwenye akili anamjua na pia utuambie kwa mukhtadha wako Tanzania ni taifa la nani!!?
 
Eneo la Afya:
· Israel wameweza kubadili mimea jamii ya algae kuwa tissue za moyo (heart tissues), zinatumika kwenye upasuaji wa moyo

· Israel wamegundua kifaa kinachoitwa Sniffphone( a device that can smell diseases) kinaweza kugundua mgonjwa anaumwa nini hasa kwa anayeshindwa kujieleza vizuri kwa daktari ama mgonjwa mahtuti

· Wamegundua kamera inayoweza kumezwa na kusoma maendeleo yote ya mwili na taarifa kutumwa nje ya mwili; hiki chombo huweza kumeng’enywa (digestible) na enzymes za mwili na kutolewa kama uchafu (a swallowable medical camera)

· Wamegundua kitu inaitwa “a battery-packed ‘exoskeleton”. Ni mfano wa skeleton ya nje inayowezeshwa na betri kumsaidia mtu aliyepoteza miguu kwa ajali kutembea kama ana miguu ya kawaida

Kilimo:
Sehemu kubwa ya nchi yao ni jangwa, kutokana na akili kubwa ya utaalam wa umwagiliaji wanaongoza nchi nyingi kusafirisha agricultural products nje. Tz tumepeleka watu wetu mara kadhaa kwenda kujifunza kilimo cha umwagiliaji.

Sasa kati ya ww na wao nani dunia inamuona mwenye akili?
Akili yako ya uchambuz wa habarr tuitegemee ama:
1. Tuagize vifaa vya afya vilivyotajwa hapo juu vitusaidie?
2. Tuendelee kuboresha kilimo chetu kwa kutotegemea100% hali ya hewa kwa kutumia utaalam wao?
 
Attachments

  • 1606142884894.gif
    1606142884894.gif
    42 bytes · Views: 5
Israel bila ya zaidi ya dollars bilion 10 wanazopewa na USA kila mwaka hawana lolote.
Kwa nini wao wapewe tuuu! watu hawajui tu hizi familia ni za kifalme na Mejemadari wa kale wa Ulaya yote! Babu wa Babu zao ndiyo walikuwa chachu ya mapinduzi na Maongozi ya kuibadilisha Ulaya yote! na Dunia

walibuni ni kwa vipi wataendela kufaidi keki ya Dunia vizazi vyao vyote! Ulaya ikijaa wataenda wapi! Middle East! kwa sbabu wanajiita wayahudi Basi lengo lao ni kuhakikisha Israel inakuwa katikati ya Mito iliyo tajwa kwenye Biblia yaani Tigris na Nile river

ni nchi zao mwisho Uganda, Rwanda Burundi Ziwa victoria lote mpaka Tanga kuelekea Cairo.

Bendera ya Israel ina Rangi za Blue juu na chini ile inaonyeshea Mito miwili yaani Tigris na Nile! kadiri wanavoongezeka wanapanua mipaka yao mpaka muwekwe mtu kati. kinachotakiwa Dunia ijue wao ndiyo Israel asilia
 
Uchambuzi wako ni wa kishabiki mno!!!!
 
Back
Top Bottom