Field Marshal
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 414
- 280
wanaofungua cozi ya level 3 tar 1 mwez 10 au wapi.?
Namanisha hawa walioko kihangaiko
wanaofungua cozi ya level 3 tar 1 mwez 10 au wapi.?
hlo halifahamiki,mambo yamegeukaNamanisha hawa walioko kihangaiko
hyo I.D yako Field Marshal maana yake unaijua..?
kwanini umejiita hvyo.?High rank in military force after General.
Hahaaaaaa mkuu unafaa kuwa dk wa matumainiWakuu Jumatano kambini
kwahiyo siku ya taarifa ya kujiandaa haitokuwepo..?Wakuu Jumatano kambini
Kwasababu nastahili.kwanini
duuh,Kwasababu nastahili.
Wewe mjeda gani mbea mmbea hivi unamwaga siri za jeshi? Au wewe mpishi wa jeshi?Kuanza upya sio ujinga........VIJANA WAZALENDO JIANDAENI MUDA SASA UMEFIKA KUINGIA VIKOSINI MAANA MWAKANI IMEHAIRISHWA INABIDI MUINGIE MWAKA HUU .....jiwekeni vizuri sidhani kama wiki mbili zitapita kuanzia sasa....moto wa maji
J5 ipi?Wakuu Jumatano kambini
Huoni avatar kaweka picha mmewe!?Wewe mjeda gani mbea mmbea hivi unamwaga siri za jeshi? Au wewe mpishi wa jeshi?
Huo ndo ukweli,nadhani nimeelewekaWewe mjeda gani mbea mmbea hivi unamwaga siri za jeshi? Au wewe mpishi wa jeshi?
NAONA ULIKUA UNASUBIRI MANENO MACHAFU TOKA KWANGU,ILA SIYATOI MKUUHuoni avatar kaweka picha mmewe!?