Mnaosubiri Kuingia JKT

Mnaosubiri Kuingia JKT

kikubwa lindeni damu zenu jeshi ni damu kama unadamu chafu itakula kwenye jifanyeni mnayajua mapenzi mtarudi mahome kwenu nyama mbavu wazalendo wazi intake hii lazima mtu akojoe damu na kutapika nyongo njoeni na mapuza ya uraiani ndoo mtajua hili ndoo jeshi siyo shirika la mkonge
Acha vitisho vya kitoto wewe
Kibeto ukifungua moyo hakuna Shida sasa unawatishia nini madogo
Wabongo kwa vitisho na kulipa visasi hamjambo, nadhani kuna afande alikushirikilia kwenye kozi sasa nawewe unavizia wazalendo ulipize kisasi
 
Zingatia uzi nilioandika,nilisema wasipotoka tpdf basi haendi mtu kikosini mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom