Mnaosubiri Kuingia JKT

Mnaosubiri Kuingia JKT

Hufai kuwa soldier,huna uvumilivu na hakika utakimbia mafunzo natena siku ya intro hutaimaliza,uliza 834kj na naomba wakupeleke huko.
Kwani kuna nn huko hebu acha kutia wenzako uoga.hebu niambie unataka umuogopeshe mashamba ya maganga na la ufuta kule uwanja wa parade
 
Kwani kuna nn huko hebu acha kutia wenzako uoga.hebu niambie unataka umuogopeshe mashamba ya maganga na la ufuta kule uwanja wa parade
Dah umenikumbusha mbali,afande maganga noma,operesheni gani mkuu na ulikuwa kombania gani na mwaka gani
 
mkuu sio hadi nitaje source mana ni nyeti we subiri tu, filimbi haiwezi skika mwez huu, kama unasubiri kuingia kunywa maji mengi moyo uelee
 
Hivi wewe utaiweza hii kazi kweli maana nakuona unalalamika sana..pande hizi ni kuchukua order tu na kukaa kimya hakuna siasa huku ndugu yangu
Sijui kama ataweza maana kule kuna kozi ya miezi sita yaaani ni mshikemshike halafu ndo abakie kikosini apewe kitengo.

Kwa mwaka mmoja na miezi 4 ndo atusue

Akishindwa kupata nafasi anabeba begi lake huyo uraiani
 
moto wa maji hata ww fanya issue nyingine coz utapata tabu jkt kwakutokua na nguvu za miguu punyeto zitakuuwa ww hahahahahaa pole sana kijana
 
Habari! WanaJF

Haya tupieni Ronja(hints) za siku za kureport weka na sababu ama sorce ya Kuback up taarifa zako.

Maalum kwa wahusika.
 
Habari! WanaJF

Haya tupieni Ronja(hints) za siku za kureport weka na sababu ama sorce ya Kuback up taarifa zako.

Maalum kwa wahusika.
Hamna ronja hapa, ushaanza kukata tamaaa mpema hivi.jeshini kuna somo la uvumilivu ndo limeanza ivo.we vumilia tu muda ukifika utajuzwa.
 
moto wa maji hata ww fanya issue nyingine coz utapata tabu jkt kwakutokua na nguvu za miguu punyeto zitakuuwa ww hahahahahaa pole sana kijana
kwani nimekwambia nataka niingie jkt? na hata ningeingia ningepumzika bada ya miez 6 kama kawa
 
Habari! WanaJF

Haya tupieni Ronja(hints) za siku za kureport weka na sababu ama sorce ya Kuback up taarifa zako.
Maalum kwa wahusika.
skia sio kila taarifa ya jkt utakayopata humu lazma iwekewe source, ukwel ni kwamba kunza maji mengi moyo uelee, kwanza unaenda kj Namb ngap?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom