Niaminini ninachowaambia!
Misingi ya kesi ya makonda ni tofauti kabisa na ilivyokuwa kesi ya Sabaya!!
Ikumbukwe kwamba Punde tu sabaya baada ya kutenguliwa u DC, aliwekwa kitimoto/mahabusu chini ya Takukuru kabla ya kushitakiwa!
Sasa ishu ya makonda ukiitazama unaona kabisa waziwazi hakuna kesi pale zaidi ya watu wachache waliokubaliana kutafta kiki tu!
Nasema kesi ya makonda ilitakiwa kuwakilishwa na uzito mkubwa zaidi ya huu wa kina kubenea kwasababu zifuatazo!
1. Mlalamikaji mkuu wa kesi ya uvamizi wa clouds media ni KUBENEA! .hahah Sawa kubenea ni mlalamikaji lakini vipi kama clouds watagoma kutoa ushahidi kuna kesi hapo? Jibu ni hakuna
2. Mashitaka yanamtaja mtuhumiwa ni "Paul Makonda" Jina ambalo KUBENEA Mwenyewe kupitia gazeti lake walisema jina halisi la mkuu wa mkoa ni bashite, na Makonda ni la mtu aliyeko nzega na kutanabaisha kwamba anaejitambulisha kuwa ni makonda aitwe ALBERT BASHITE. Kwahiyo mlalamikaji hajaweka bayana anaemshitaki sasa ni nani kati ya hawa wawili, he ni aliyejiita MAKONDA au anamaanisha BASHITE?
3. Nasema hakuna kesi kwasababu tatu makonda mwenyewe yuko kwake akiwa huru, tahudhuria kesi kutokea kwake, hivyo kama kuna ushahidi wowote unaoweza kuwa hatari anaweza kuutempa kirahisi.
4. Wanaomshitaki Makonda si wakuaminika ki viile, ni kesi yenye msingi ya kisiasa na ulaji binafsi.
5. Hata makonda alipoingia clouds, hakupora mtu zaidi ya kuchukua CD yake! Hapo inampa uwanja mpana wa kukana mashitaka kwasababu hakuvunja milango, Milango yote walimfungulia wao wenyewe clouds!
Kiufupi kesi ya makonda na kubenea hamna kesi mule niaminini nachowaambia!
NASHAURI MASHITAKA YAPANGWE VIZURI ILI KESI IWE NA UZITO UNAOSTAHILI dhidi ya mtuhumiwa