mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,432
- 2,892
UTANGULIZI
Najua kuna mtu atakuja hapa kusema kuwa "Asubuhi yote hii nawaza mapenzi? Kwani hili jukwaa limewekewa muda maalum?
Wee piga kazi tuache sisi tujadili mapenzi. Ukisha kuwa huru sasa njoo uchangie.
OKEY, TWENDE MADANI
Ndugu msomaji, rejea kichwa cha habari hapo juu
Baadhi ya wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wamebarikiwa wanasema kuwa zama hizi hakuna kutongoza. Na wengine wakafika mbali kabisa wakikuona unatongoza basi watakuja na kukuona bwege kweli kweli.
Wenzangu huwa mnatumia njia gani?
Waswahili walijisemea kuwa kuuliza si Ujinga. Sasa nami nimekuja kuwauliza ndugu zangu wale ambao wana mbinu m badala za kuweza kuwapata wanawake (Viburudisho).
Natanguliza shukrani