Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,246
- 6,623
Unawadanganya wenzio eti ukifa kwenye maandamano ni ushujaa..?Unatakiwa uwe mstari wa mbele kwenye Maandamano, usife kizembe au kindezi na njaa.
Ukifa kwenye maandamano wewe ni shujaa wa Taifa.
Tukifanikiwa watakao baki wanatakiwa wafukue makaburu yote ya mashujaa wazike upya na Mizinga ipigwe100, (Mia).
Hapo ni kama unaomba Maisha Mrefu alafu ya tabu
Umasikini hauwezi kuisha. Halafu umasikini ni fikra za mtu sio vitu.Taifa lipo kwenye uvamizi wa kigaidi wewe unawaza maandazi mpumbavu mkubwa. Kwenye nature kuna kitu kinaitwa Survival of the fittest. Tafsiri yake ni kuwa watu dhaifu kama wewe ambaye hausimami na raia wengine ni lazima maandazi ukose ili ufe njaa taifa lipate raia makini wachache wajenge taifa imara.
Ni watu kama wewe ndio sababu hadi leo tanzania taifa lenye miaka zaidi ya 50+ ya uhuru bado limenasa katika stage ya umasikini wa kipato cha chini. Ni watu kama wewe ndio hawa matapeli wa siasa wanawatumia kuaminisha jamii kuwa sisi ni masikini na tunatakiwa kuombewa misaada.
Sasa ili sekeseke la mabadiliko ya kimfumo litapita na wapuuzi kama wewe hadi akili ikukae sawa ubadilike. Kama wewe unawaza maandazi unamuwazia nini mtoto wako kesho yake?
Tutakucheki mkuu, si upo around external ubungo au around hayo maeneo ?Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Tar 6 zamia mkoa hiii mbungi haitaki kutia huruma
NakaziaNyinyi ndio mnatakiwa muwe mstari wa mbele kabisa nchi ina rasilimali nyingi na utajiri mwingi hii mafisadi ndio wanakutia umaskini
Umeridhika na maisha hayo?Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Tena aende Tanga. Kule nina uhakika hakutakua na purukushaniTar 6 zamia mkoa hiii mbungi haitaki kutia huruma