Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,175
- 12,994
Ninyi ndo mnatakiwa mpaze sauti kubwa kubwa hakuna kurudi nyumaMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Zingatia post no. 2Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Toa location tuje tukusaidie kwenda kwa Mungu moja kwa moja maana huko Imeandikwa Hakuna Njaa ni mwendo wa kutafuna Bikra 72Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Wenye nguvu nendeni mbele aisee.naelewa mnachokifanya ila sio Kila mtu ana Maisha ya akiba ndani.ikitokea lockdownNyinyi ndio mnatakiwa muwe mstari wa mbele kabisa nchi ina rasilimali nyingi na utajiri mwingi hii mafisadi ndio wanakutia umaskini
Muda sio rafiki kwa kweli hayo unayoyasema jaribu kuwaambia wale wanaojifanya wanaambiwa lakini hawasikii wanachoambiwa na muda unakimbia vibaya sana...Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Tar 6 zamia mkoa hiii mbungi haitaki kutia huruma
Wanisikilize Mimi?Muda sio rafiki kwa kweli hayo unayoyasema jaribu kuwaambia wale wanaojifanya wanaambiwa lakini hawasikii wanachoambiwa na muda unakimbia vibaya sana...
Wewe mwenye maisha magumu ndio unatakiwa uwe frontline 9D.Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
unafahamu chanzo cha matatizo uliyo nayo?Wenye nguvu nendeni mbele aisee.naelewa mnachokifanya ila sio Kila mtu ana Maisha ya akiba ndani.ikitokea lockdown
Naelewa mdogo angu na najua mnachopigania.ilaAcha kulialia sister.
Tunakutengenezea Nchi yenye haki, demokrasia na utawala bora.
Tumechoka kua watumwa kwenye Nchi yetu.
Kwa sasa Tanzania ili uwe salama au upate fursa za kiuchumi na utawala inabidi uwe chawa kwanza.
Je wewe unafuraha kuishi kwenye Nchi ya namna hii?
It's better to die fighting for freedom than to be a prisoner all the days of your life.
Meet us on December 9 🔥
Hili jina abigail limenikumbusha mbali sana, mungu akubariki Sister AbigailMtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲