Mtufikirie na sisi tunaoishi Maisha magumu...tunaoshindia maandazi na maji na bado na bado tunategemea kudra wengine tunajitegemea huku tuna challenge za kiafya
Vikiumana huko mtatuua wenzenu🥲
Wewe mwenye maisha magumu ndio unatakiwa uwe frontline 9D.
Fikiria una maisha ya kuungaunga halafu fisadi na mwizi said lugumi anakuonesha yard yake ya magari ya thamani alioifunga kiyoyozi.
Gari ya bei ya chini milioni mia nne ambazo amezipata kifisadi.
Ujakaa sawa unamuona mtoto wa mkurugenzi wa usalama wa taifa anachezea dola laki 3 ambazo ni milioni 700 na ushee za kitanzania.
Hiyo haitoshi anakuonesha na dole la kati kabisa kama ishara ya matusi na huna la kumfanya.
Hapo bado ujaongelea rozi rozi la Abdul la billion 2 na ushee na manunuzi yake ya tiles za bilioni 2 na milioni mia nne ambazo zote zimepatikana kifisadi.
Kwa hali kama hiyo unaanzaje kulala ndani?
Toka tukaikomboe nchi yetu.
Toka tukawsshikishe adabu watekaji na wauaji.
Usiogope wao ni binadamau kama sisi.
Wanaumia na kufa kama sisi.
Ndio maana maandamano yaliyopita kuna wengine baada ya kuzidiwa na wananchi walivua gwanda zao na kukimbia.
Naomba tutoke 9D nguvu yako inahitajoka sana.
#9D save the date.
#Aluta continua.