Mnaokaa nyumba za kupanga (shared) fahamu hili

Halafu haya mambo ya kufuatiliana maisha na tamaa za kijinga ndio yanafanya watu wengine kuliwa donati
 
Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima tunashea watu wawili tuu. mwenzangu alikuwa anakaa mwenyewe familia yake ilikuwa mkoa mwingine. so nilienjoy utulivu mkubwa sana, hadi nilipohamia kwangu.

Sasa buana, nisikuchoshe. nimepata safari mkoani, ambayo nitakaa miezi 3 kwa ajili ya mradi fulani. Nikachanga karata zangu na wenyeji wa hapo ninapoenda, nikasema nitakuwa bwege nikikaa lodge kwa miezi 3. Mwenyeji wangu akaingia kusaka vyumba, nikapata chumba kimekaa design kama hostel, but so advanced kama apartment hivi. Kucheki, bei kitonga maana ni za taasisi flani. Jamaa alinikaribisha, kweli kuna vyumba vingi pale. Nilipoingia jamaa akanielekeza masuala ya maji ni bure, umeme ndo kila mtu anajinunulia wa kwake ukiisha. Kwa kuwa nilikuta umeme upo sikuhangaika, ila alinipa angalizo kuwa nikiona umeme umekatika kwangu na vyumba vingine unawaka, basi nijue wa kwangu umeisha ninunue. Maana wameweka sub-meters kila chumba. Nilikaa kama wiki 3, usiku saa 7 nikaona umeme umekatika kwingine unawaka. Nikaona hakuna haja kumsumua jamaa. Asubuhi ndo nikamcheki akanipa mwongozo nikajinunulia. nilinunua umeme wa 5000, nikapata 12.3 units. Matumizi yangu ni taa tuu usiku, feni mara chache, kuchaji simu na laptop, na kupiga pasi nguo. Leo ni siku ya 7 tangu nimeweka umeme, nimeshangaa nimekuta nimetumia unit 1.5 kwa wiki nzima. Kwa hiyo kwa muda wa wiki 4 nitakuwa nimetumia units 6 za umeme. kwa lugha nyingine, kwa Sh. 5000, napata umeme wa kutumia miezi miwili.

Sasa jiulizeni nyie mnaokaa vyumba vya kupanga, mpo wapangaji 6 wengine hadi 10. Mwenye nyumba anawaramba kila mmoja 10,000/- au 15,000/-kila mwezi umeme. wewe bachelor ndani hakuna unachotumia zaidi ya taa. kupiga pasi nguo yako moja kila siku, na kuchaji simu na laptop. Mnapigwa hela za bure au mnazidiana nyie wapangaji wengine wanatumia vitu vingi vinavyotumia umeme mwingi ila wewe usiye na vingi unawahudumia wengine. Nimependa sana huu utaratibu wa hawa jamaa kwa kweli laiti wapangaji wangejitambua nchi nzima mngewangembana wamiliki waweke submeters kila mtu anunue umeme anaoutumia. Haya mambo ya kuchangiana ni wizi mkubwa aisee.
Mkuu,

Unatakiwa ku aim high upange kila mtu akae kwenye nyumba yake.

Ila tukiacha utani moja ya uzuri wa population kukua kwa kasi sana ni uhitaji mkubwa wa nyumba.

Kuna namna ya kujenga nyumba za kisasa ndogo ndogo hususan kwa vijana, na kuwawekea mita zao za umeme, na kuwatoza gharama zisizo za juu sana, na kupata faida nzuri tu.
 
Mkuu una muda mrefu sana hujafika Tz? Nyumba za aina hio zimejaa sana hapa mjini Dar na mikoa kama Dodoma. Kuna sehemu nilipita nikaziona kama 20 units nikauliza za nani nikaambiwa za mdada yuko USA.
 
Naam,

Najua kuna watu wanajenga sijasema hazipo, nasema kuna demand bado na watu wanaweza kujenga zaidi.

Au unaniambia zimetosha?
 
Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima tunashea watu wawili tuu. mwenzangu alikuwa anakaa mwenyewe familia yake ilikuwa mkoa mwingine. so nilienjoy utulivu mkubwa sana, hadi nilipohamia kwangu.

Sasa buana, nisikuchoshe. nimepata safari mkoani, ambayo nitakaa miezi 3 kwa ajili ya mradi fulani. Nikachanga karata zangu na wenyeji wa hapo ninapoenda, nikasema nitakuwa bwege nikikaa lodge kwa miezi 3. Mwenyeji wangu akaingia kusaka vyumba, nikapata chumba kimekaa design kama hostel, but so advanced kama apartment hivi. Kucheki, bei kitonga maana ni za taasisi flani. Jamaa alinikaribisha, kweli kuna vyumba vingi pale. Nilipoingia jamaa akanielekeza masuala ya maji ni bure, umeme ndo kila mtu anajinunulia wa kwake ukiisha. Kwa kuwa nilikuta umeme upo sikuhangaika, ila alinipa angalizo kuwa nikiona umeme umekatika kwangu na vyumba vingine unawaka, basi nijue wa kwangu umeisha ninunue. Maana wameweka sub-meters kila chumba. Nilikaa kama wiki 3, usiku saa 7 nikaona umeme umekatika kwingine unawaka. Nikaona hakuna haja kumsumua jamaa. Asubuhi ndo nikamcheki akanipa mwongozo nikajinunulia. nilinunua umeme wa 5000, nikapata 12.3 units. Matumizi yangu ni taa tuu usiku, feni mara chache, kuchaji simu na laptop, na kupiga pasi nguo. Leo ni siku ya 7 tangu nimeweka umeme, nimeshangaa nimekuta nimetumia unit 1.5 kwa wiki nzima. Kwa hiyo kwa muda wa wiki 4 nitakuwa nimetumia units 6 za umeme. kwa lugha nyingine, kwa Sh. 5000, napata umeme wa kutumia miezi miwili.

Sasa jiulizeni nyie mnaokaa vyumba vya kupanga, mpo wapangaji 6 wengine hadi 10. Mwenye nyumba anawaramba kila mmoja 10,000/- au 15,000/-kila mwezi umeme. wewe bachelor ndani hakuna unachotumia zaidi ya taa. kupiga pasi nguo yako moja kila siku, na kuchaji simu na laptop. Mnapigwa hela za bure au mnazidiana nyie wapangaji wengine wanatumia vitu vingi vinavyotumia umeme mwingi ila wewe usiye na vingi unawahudumia wengine. Nimependa sana huu utaratibu wa hawa jamaa kwa kweli laiti wapangaji wangejitambua nchi nzima mngewangembana wamiliki waweke submeters kila mtu anunue umeme anaoutumia. Haya mambo ya kuchangiana ni wizi mkubwa aisee.
Umezunguka sana ila point n 1%
 
Kwanza we muongo! Submeter uwezi kuweka umeme, lazima ukaweka kwenye mita kubwa! Kazi ya submeter ni kuangalia matumizi yako ya umeme..... halafu kingine we masikini sana ,unajaji hadi matumizi ya umeme wa Elfu kumi kwa mwezi?
We nae hujui kitu, kama hapo ulipopanga mna hiyo submeters bc kuna namna mnapigwa.
Umeme Ukinunua unaweka kwenye mita kubwa, kisha unapewa token Namba za kuweka kwenye sub yako na zinakuja vile vile kama ulivyonunua
 
Bado kuna uhitaji mkubwa sana.
Naam.

Na utaongezeka. Population yetu inakaribia 3% annual growth. Kila baada ya miaka kama 23 population ina double.

Kwa mtaji huo demand ya nyumba ukijua kujenga sehemu nzuri, haiwezi kupungua.

Kuna wazee walikataa viwanja Buguruni kwa sababu wao watoto wa Kariakoo, waliona Buguruni ni mbali na mji.

Sasa hivi mji umefika Kibaha mpaka Vikawe huko.

Kinyerezi pale tulikuwa tunaenda tunasema huku ndiyo Dar es salaam vijijini. Miaka ya 1990s hapo. Palikuwa kijijini kweli kweli, ukivuka Segerea tu, nyumba za udongo na kuezekwa na nyasi tupu. Segera penyewe palikuwa ndiyo watu wanaanza kujenga.

Sasa hivi hata kama sijarudi nikiangalia Google Satellite tu naona mji ushafika huko.
 
Hakika_ nyumba za hivo utulivu
Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima tunashea watu wawili tuu. mwenzangu alikuwa anakaa mwenyewe familia yake ilikuwa mkoa mwingine. so nilienjoy utulivu mkubwa sana, hadi nilipohamia kwangu.

Sasa buana, nisikuchoshe. nimepata safari mkoani, ambayo nitakaa miezi 3 kwa ajili ya mradi fulani. Nikachanga karata zangu na wenyeji wa hapo ninapoenda, nikasema nitakuwa bwege nikikaa lodge kwa miezi 3. Mwenyeji wangu akaingia kusaka vyumba, nikapata chumba kimekaa design kama hostel, but so advanced kama apartment hivi. Kucheki, bei kitonga maana ni za taasisi flani. Jamaa alinikaribisha, kweli kuna vyumba vingi pale. Nilipoingia jamaa akanielekeza masuala ya maji ni bure, umeme ndo kila mtu anajinunulia wa kwake ukiisha. Kwa kuwa nilikuta umeme upo sikuhangaika, ila alinipa angalizo kuwa nikiona umeme umekatika kwangu na vyumba vingine unawaka, basi nijue wa kwangu umeisha ninunue. Maana wameweka sub-meters kila chumba. Nilikaa kama wiki 3, usiku saa 7 nikaona umeme umekatika kwingine unawaka. Nikaona hakuna haja kumsumua jamaa. Asubuhi ndo nikamcheki akanipa mwongozo nikajinunulia. nilinunua umeme wa 5000, nikapata 12.3 units. Matumizi yangu ni taa tuu usiku, feni mara chache, kuchaji simu na laptop, na kupiga pasi nguo. Leo ni siku ya 7 tangu nimeweka umeme, nimeshangaa nimekuta nimetumia unit 1.5 kwa wiki nzima. Kwa hiyo kwa muda wa wiki 4 nitakuwa nimetumia units 6 za umeme. kwa lugha nyingine, kwa Sh. 5000, napata umeme wa kutumia miezi miwili.

Sasa jiulizeni nyie mnaokaa vyumba vya kupanga, mpo wapangaji 6 wengine hadi 10. Mwenye nyumba anawaramba kila mmoja 10,000/- au 15,000/-kila mwezi umeme. wewe bachelor ndani hakuna unachotumia zaidi ya taa. kupiga pasi nguo yako moja kila siku, na kuchaji simu na laptop. Mnapigwa hela za bure au mnazidiana nyie wapangaji wengine wanatumia vitu vingi vinavyotumia umeme mwingi ila wewe usiye na vingi unawahudumia wengine. Nimependa sana huu utaratibu wa hawa jamaa kwa kweli laiti wapangaji wangejitambua nchi nzima mngewangembana wamiliki waweke submeters kila mtu anunue umeme anaoutumia. Haya mambo ya kuchangiana ni wizi mkubwa aisee.
 
We nae hujui kitu, kama hapo ulipopanga mna hiyo submeters bc kuna namna mnapigwa.
Umeme Ukinunua unaweka kwenye mita kubwa, kisha unapewa token Namba za kuweka kwenye sub yako na zinakuja vile vile kama ulivyonunua
Ona jinga ili,

Mi nipange umri huu?
Umeme kama hamna kwenye MITA kubwa, submeter haiwezi kufanya kazi yoyote inakuwa off,
 
Nafikiri kijana anatakiwa aishi kwa malengo yake. Huwezi kununua vitu kisa unashindana na mtu usiemjua uwezo wala mipango yake unaweza kuishia pabqya.

Malengo yanahitaji motivation
Maendeleo yanahitaji ushindani.

Sishauri kwa kijana kuishi maisha yasiyo na ushindani. Huyo kutoboa asahau.

Al
 
Jamii Forum hakuna aliyepanga.

Humu wote tunaishi kwenye nyumba zetu za ghorofa zilizopo Mbweni,Masaki,Obey na Mikocheni.

Umeme tunaweka wa laki 2 tunatumia mpaka tunasahau.

Huo umeme wa elfu 5 hatukumbuki lini mara ya mwisho kununua.
Aisee 😂
 
Malengo yanahitaji motivation
Maendeleo yanahitaji ushindani.

Sishauri kwa kijana kuishi maisha yasiyo na ushindani. Huyo kutoboa asahau.

Al
Malengo hayahitaji motivation kwasababu wakati unaweka malengo yako huweki kwasababu ya mtu mwingine. Unahitaji kujitambua na kujua ubataka nini. Sio kufuata mumbo kisa motivation.

Kutoboa ni juhudi zako na sio mashindano hivyo sio guarantee kwamba ukiishi kwa mashindano utatoboa au kinyume chake.

Jiwekee malengo na mipango yako huna sababu wala ulazima wa kushondana na watu na kufuata mkumbo kwa kisingizio cha motivation
 
Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima tunashea watu wawili tuu. mwenzangu alikuwa anakaa mwenyewe familia yake ilikuwa mkoa mwingine. so nilienjoy utulivu mkubwa sana, hadi nilipohamia kwangu.

Sasa buana, nisikuchoshe. nimepata safari mkoani, ambayo nitakaa miezi 3 kwa ajili ya mradi fulani. Nikachanga karata zangu na wenyeji wa hapo ninapoenda, nikasema nitakuwa bwege nikikaa lodge kwa miezi 3. Mwenyeji wangu akaingia kusaka vyumba, nikapata chumba kimekaa design kama hostel, but so advanced kama apartment hivi. Kucheki, bei kitonga maana ni za taasisi flani. Jamaa alinikaribisha, kweli kuna vyumba vingi pale. Nilipoingia jamaa akanielekeza masuala ya maji ni bure, umeme ndo kila mtu anajinunulia wa kwake ukiisha. Kwa kuwa nilikuta umeme upo sikuhangaika, ila alinipa angalizo kuwa nikiona umeme umekatika kwangu na vyumba vingine unawaka, basi nijue wa kwangu umeisha ninunue. Maana wameweka sub-meters kila chumba. Nilikaa kama wiki 3, usiku saa 7 nikaona umeme umekatika kwingine unawaka. Nikaona hakuna haja kumsumua jamaa. Asubuhi ndo nikamcheki akanipa mwongozo nikajinunulia. nilinunua umeme wa 5000, nikapata 12.3 units. Matumizi yangu ni taa tuu usiku, feni mara chache, kuchaji simu na laptop, na kupiga pasi nguo. Leo ni siku ya 7 tangu nimeweka umeme, nimeshangaa nimekuta nimetumia unit 1.5 kwa wiki nzima. Kwa hiyo kwa muda wa wiki 4 nitakuwa nimetumia units 6 za umeme. kwa lugha nyingine, kwa Sh. 5000, napata umeme wa kutumia miezi miwili.

Sasa jiulizeni nyie mnaokaa vyumba vya kupanga, mpo wapangaji 6 wengine hadi 10. Mwenye nyumba anawaramba kila mmoja 10,000/- au 15,000/-kila mwezi umeme. wewe bachelor ndani hakuna unachotumia zaidi ya taa. kupiga pasi nguo yako moja kila siku, na kuchaji simu na laptop. Mnapigwa hela za bure au mnazidiana nyie wapangaji wengine wanatumia vitu vingi vinavyotumia umeme mwingi ila wewe usiye na vingi unawahudumia wengine. Nimependa sana huu utaratibu wa hawa jamaa kwa kweli laiti wapangaji wangejitambua nchi nzima mngewangembana wamiliki waweke submeters kila mtu anunue umeme anaoutumia. Haya mambo ya kuchangiana ni wizi mkubwa aisee.

Umepoteza mda wangu
 
Back
Top Bottom