Sawa mama mdogo.Mjinga mama yako
Umeondoka mwezi mzima unaacha friji on? Taa inatumikaje wakati mwenyewe haupo?
Malengo hayahitaji motivation kwasababu wakati unaweka malengo yako huweki kwasababu ya mtu mwingine. Unahitaji kujitambua na kujua ubataka nini. Sio kufuata mumbo kisa motivation.
Kutoboa ni juhudi zako na sio mashindano hivyo sio guarantee kwamba ukiishi kwa mashindano utatoboa au kinyume chake.
Jiwekee malengo na mipango yako huna sababu wala ulazima wa kushondana na watu na kufuata mkumbo kwa kisingizio cha motivation
Kaeleza vizuri sanaMada kubwa inaelezea kisoda
Tuambie gharama yakeUnaijua hgharama ya hiyo submeter ya kukuwezesha kujinunulia umeme wako mwenyewe? Hesabu vyumba vilivyopo hapo unapoishi kisha zidisha na hiyo gharama ya kila submeter. Ndipo utaelewa wapangaji na mwenye nyumba wanaishi kwa mahesabu kuliko wewe. Kwahiyo tulia endelea kumshukuru Mungu kwa kukupa hiyo bahati ya kupata nyumba unayoweza kujinunulia umeme wake mwenyewe.