Mnaohubiri stand ya Mbezi mnaboa

Mnaohubiri stand ya Mbezi mnaboa

Ulokole ni utapeli kama utapeli mwingine
Wakati huo unaouzungumzia walikuwepo matapeli wengi tu

Ni porojo na kuzinguana tu Ulokole ni wadhambi period!

Tusali sio kutudanganya na uponyaji sijui mafanikio sijui utapata mume
Swali langu mbona mnalenga wanawake tu?
Nendeni mkaponye mahospitalini maana wale ndio wanahitaji uponyaji...
Mimi na nani, umewahi kuniona popote nikimlenga dada au mama yako? Tumewahi kukutana nikakuhubiria?
 
Mimi na nani, umewahi kuniona popote nikimlenga dada au mama yako? Tumewahi kukutana nikakuhubiria?
Sihitaji mahubiri ya mlokole yeyote
Umejibu nami nimekujibu kulingana na maelezo yako
Sikujui wala sihitaji kukujua
Nimejibu kwa umoja wenu unahubiri huhubiri sio hoja
Next...
 
Sihitaji mahubiri ya mlokole yeyote
Umejibu nami nimekujibu kulingana na maelezo yako
Sikujui wala sihitaji kukujua
Nimejibu kwa umoja wenu unahubiri huhubiri sio hoja
Next...
Hiyo chupa itazama tumboni. Kuwa makini
 
Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Yale makelele yanazidi ya AZANA??
 
Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Acha watu wahubiri injili.
 
Afadhali huko wanaweka kituo.
Nilitembelea Mbeya, huko balaa!
Wengine wanahubiri kwa sauti huku wanatembea! (Sauti kubwa)
Ama kweli gharika iko karibu malangoni.
 
Sijawahi kuona Waisilamu wanafanya hiki kitu,lakini kila siku makundi na makundi yanaslimu
Ukislimu unapewa hela.. hata mimi kuna kipindi nilifulia ikabidi nislim
 
mle ndani bado kuna ofisi zinapangishwa wakodishe chumba kimoja wafanye mambo yao.
 
Back
Top Bottom