Mnapiga makelele ya kuomba Sadaka, watu wengine ni wagonjwa hawahitaji kusikia makelele yenu,yaani hata kuongea na Simu tunashindwa. Tena mmejigundulia wote mnasimama foleni ya mwendokasi, kazi yenu nikuomba Sadaka, hamfanyi tena kazi mahubiri.Hebu nendeni mahospitalini kuna watu wanahitaji huduma za maombezi zaidi.
Amo 8:11 SUV
Angalia, siku zinakuja, asema Bwana MUNGU, ambazo nitaleta njaa katika nchi; si njaa ya kukosa chakula, wala kiu ya kukosa maji, bali ya kukosa kuyasikia maneno ya BWANA.Ipo siku utawatafuta hao mkuu. Hamna Injili ya watu wote kwa wakati mmoja. Kuna mtu anaponyeka hapohapo stand. Yupo mwingine alikata tamaa na akapata tumaini jipya hapohapo.